Watangazi wa TV na redio kuna tofauti kati ya BAE na B.A.E

chitambikwa

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
3,941
899
Jamani watangazaji wetu kuna tofauti ya kimatamshi kati ya vifupi vya maneno vilivyoandikwa kwa kutenganishwa na nukta na vile visivyotenganishwa na nukta. Mbona mnasoma bila kujali kama kuna tofauti.

kwa mfano; UNO na U.N.O au B.A.E na BAE
Jifunzi vitu vya msingi katika taaruma yenu
 

Mlamoto

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
351
135
Jamani watangazaji wetu kuna tofauti ya kimatamshi kati ya vifupi vya maneno vilivyoandikwa kwa kutenganishwa na nukta na vile visivyotenganishwa na nukta. Mbona mnasoma bila kujali kama kuna tofauti.<br />
<br />
kwa mfano; UNO na U.N.O au B.A.E na BAE<br />
Jifunzi vitu vya msingi katika taaruma yenu
Nakubaliana na wewe. Napatwa kichefuche mpaka huwa nazima redio

Mfano. Nimependa hiyo nyimbo (matusi).

Nimeupenda huo wimbo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom