Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
AKIDI: idadi ya watu inayoridhisha kuchukua maamuzi fulani juu ya jambo fulani. MANIFESTO: Azimio la chama kuelezea msimamo wa chama kuhusu tukio au wazo fulani kulingana na sera au mpango wa...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Kwa mnaofuga mbwa kuna usemi unasema; MBWA UKIMJUA JINA HAKUSUMBUI wengine HAKUPI SHIDA - Ni zipi hasa tabia za mbwa kama unamjua jina? Ina maana ukimuita kwa jina lake hupunguza ukali?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wayebusi hodi naja, Waperizi sichukie, Mkaananii kwako naja, Nawe Kushi unisikie, Mwamori andaa hoja, Nzuri na nizisikie, Ramadhani ni mfungo ama mwabadiri kula. Nauliza tangu zama, majibu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Methali za kiswahili 1. Adhabu ya kaburi aijua maiti, The touture of the grave is only known by the corpse 2. Akiba haiozi, A reserve will not decay 3. Asifuye mvuwa imemnyea...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wanajamii wenzangu, kuna kitu kinanitatiza kwenye tangazo la bia moja wanaslogan inayosema "HAINA MAJOTRO" mimi mpaka leo sijajua maana ya hilo neno,na hata nikiwaeleza watu...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Nyoka mzee anayejivua gamba ,kichwa chake kiko nje mara nyingi chenye kuchanganya akili za mbayuwayu na zake ?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1. Samaki mmoja akioza wote wameoza 2. Usipoziba ufa utajenga ukuta 3. Siku za mwizi ni arobaini 4. Hakuna lenye mwanzo lisilo na mwisho 5. Kikulacho ki nguoni mwako 6. Kipya kinyemi ingawa...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Wana JF, kuna kiswahili kimeingia kipya sifahamu maana yake kwa hakika. Kwenye majarida mbalimbali kila mwandishi analitumia kivyake nimeshindwa kupata maana halisi ya neno: Sharobaro!
0 Reactions
14 Replies
23K Views
Asee naomba nitafsiliwe nayi waungwana kwa kiingereza ' baba mimi ni mtoto wako wa ngapi? '
0 Reactions
0 Replies
2K Views
"swaumu kwa kiingereza ni nini?
0 Reactions
28 Replies
9K Views
Mes amis que nous sommes tous les enfants de Dieu, je tiens seulement à souhaiter à tous les Ramadan kareem même si l'im chrétiens, mais je vous souhaite à tous. Que Dieu vous bénisse tous.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SHATI LA RANGI Mgonjwa mwenzi kitanda,nafsi yanikumbukiza Wa miongo na si kinda,maovu yanichukiza Ukweli nitautenda,sitoita muujiza Navua shati la rangi, silitaki lina damu Weledi...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Few men have the story like mine, But there are others that when they speak I don’t tell mine, Like the menial men in the mine, Most people don’t mind to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani mnaisoma Njozi ya Mwanakijij kwenye Tanzania Dima Jumatano !? Jmaa anatisha namshauri aifanya kuwa Riwaya Itakuwa ni mojawapo ya RIWAYA BOMBA,BRAVO MWANAKIJIJI INGAWAJE SIKUJUI !NINGEKUJUA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikichekeshwa sana na stand up comedies za kiingereza na nadhani za kiswahili hazibambi,hata movies pia ni hivyohivyo,mnaonaje wadau?Lugha yetu si tamu kama ya wazungu ama tunakosa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Polisi ni kazi, ni mtu au vyote.......? Mfano Zima-moto/mzima moto Ualimu/mwalimu Ulinzi/mlinzi Ujenzi/mjenzi Jee Polisi ? kwa kiingereza Police ni kazi, mfanyakazi atakua policeman.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
UKITAKA KUNYWA SUPU YA MBWA, SHARTI IWE YA MOTO!!! Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu msemo huu. Maana ya msemo huu hainitatizi sana, kinachonitatiza ni kuwa kwa nini wahenga waliamua kutumia neno...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
The news is an investigative one.....i think for you who have come all da way from they you had a realy experience.....After i have read the issue i found that there are events happening in this...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Yawezeka na imeulizwa lakini nahitaji msaaada wa haraka; tafsiri ya neno download ama ku download kwa kiswahili sanifu
0 Reactions
4 Replies
9K Views
Located in south-east Tanzania in a remote and little-visited part of the country, the Selous Game Reserve is Africa's largest protected wildlife reserve and covers more than 5% of Tanzania's...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom