Kujiongeza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kujiongeza

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by chetuntu, Jan 12, 2011.

 1. c

  chetuntu R I P

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Tafadhalini wana jamvi nauliza kujiongeza ndio nini, naona vijana wengi wanatumia hilo neno.
   
 2. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #2
  Jan 14, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Kama nitakuwa nipo sahihi, kujiongeza ni kufikiria zaidi hasa katika kufanya maamuzi fulani. Yaani kufikiria zaidi ya ukomo wako wa kawaida. Hata hivyo nipo tayari kukosolewa kama nimetafsiri ndivyo sivyo.
   
 3. c

  chetuntu R I P

  #3
  Jan 14, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  asante kwa ufafanuzi.
   
 4. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,488
  Trophy Points: 280
  Ulikuwa mkarimu, na Muungwana.

  RIP Our dearest Chetuntu
   
 5. Fugwe

  Fugwe JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 1,680
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Mie nilifikiria vingine kuhusu kujiongeza. Nikadhani ni kujiongeza nani hii kwa kutumia dawa za mchina hahahhahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa (Joke)
   
Loading...