Unauelewaje usemi huu?

nkyandwale

Member
Feb 8, 2011
64
14
Nashindwa kuwaelewa baadhi ya watu wasemavyo, muda huu ni wa kuuaga mwili wa marehemu.
Hebu tuwekane sawa! Je, inawapasa wasemeje ili kuuondoa utata wa lugha! Tafadhali dadafueni kauli hiyo.
 
Basi sema 'to pay last respect'. Maana kiswahili kimukushinda na sijui wasiwasi wako unatokana na nini hapo?
 
Back
Top Bottom