Elimu ya jabali la kiswahili shaaban robert hii hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Elimu ya jabali la kiswahili shaaban robert hii hapa

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Nancheto, Aug 13, 2011.

 1. N

  Nancheto Member

  #1
  Aug 13, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wasiofahamu elimu ya mwandishi wa vitabu vya riwaya na mashairi hayati shaaban Robert ana elimu ya darasa la nne.Unazikumbuka
  kazi zake hizi?Kusadikika,kufikirika,Adili na Nduguze n.k.Je hao wasomi wetu wa sasa na phD zao za vitini watamfikia huyu?
   
 2. h

  hoyce JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  @muulize Kigwangalla
   
 3. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,080
  Trophy Points: 280
  Dr.Augustine L. Mrema!!
   
 4. c

  cyberspace JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2011
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 660
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  <br />
  <br /> Dr. Mzindakaya
  Dr. Deodorus Kamala
  Dr. Emmanuel Nchimbi
   
 5. J

  Justine Kilasara Member

  #5
  Aug 14, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wameandika makala nyingi tu za kueleweka, zinatumika dunia nzima, ili umaarufu wao upande inabidi wafe kwanza.
   
 6. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Shaaban Robert hakuwa na darasa nne tu. Alimaliza Middle School ya Kikoloni ambayo kwa sasa unaweza kuilinganisha na Form Six. Alijiendeleza kielimu binafsi akiwa anafanya kazi serikalini. Vyeti, hasa vya siku hizi, havionyeshi ujuzi wala umahiri wa mtu. Siku zile ilikuwa hivyo.
   
 7. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  <br />
  <br />
  Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.
   
 8. N

  Nancheto Member

  #8
  Aug 15, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  l
  kumbukumbu zaonesha kuwa alimaliza darasa la nne kwenye shule ya kichwele(kwa sasa uhuru mchanganyiko) mwaka 1922 kisha alirudi pangani na hatimaye aliajiriwa kwenye idara ya forodha hapo pangani.si vibaya ukitujuza kama kuna kozi zingine alisoma baada ya ajira hiyo ya mkoloni
   
 9. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Dr W Slaa
   
 10. Ze burner

  Ze burner JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2011
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  unamautani na mshua eti enh!
   
Loading...