Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Nawaombeni munifahamishe kuhusu jando na unyago mimi sielewi inakuwaje? nawaombeni jamani munipe jibu Zuri Mubarikie wote.
0 Reactions
14 Replies
10K Views
Hili neno kuzini nje ya ndoa linanipa shida kulielewa, hivi kuna kuzini ndani ya ndoa? naomba tafsiri ya neno hili kuzini!
0 Reactions
6 Replies
8K Views
hi! Jf members, please help me this question, english literature is an outdated material in the contemporary society. Discuss.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huu umekuwa ni msamiati mpya kwangu na unatumika sana hapa JF hivi hili neno hasa lina maana gani? "MASABURI"
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Salamu za rambirambi kutoka kwa Mama Olive Kabila kuhusiana na "msiba wa gari la ndege ya shirika la kampani Ewabora". Ni salamu za rambirambi na masikitiko ya ajali lakini Kiswahili anachoongea...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimekutana nayo kwenye kamusi ya BAVIZA nikaona si vibaya tuambizane: 1. Chegari: Sehemu inayotumika kunyoa nywele wanaume (barber shop) 2.Tabaharia:Kubobea katika uelewa au utaalam wa jambo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba tafsiri ya maneno haya: subcontractor subgurantee federal acquisition disclaimer The Code of Ethics and Conduct Code of business ethics and conduct
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania ina umwa, inaumwa homa kali Taabani yaangamia, watu hawatafakali Wenye nacho wanavuma, wakifaidi mali Tanzania ina umwa jahazi lenda mrama Ina madonda ya utumwa, ufisadi na majangili Na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
(Haki zote zimehifadhiwa, hairuhusiwi kuiga kunakili au kutumia sehemu ya simulizi hii kwa namna yoyote ile bila ya Ruhususa ya Mwandishi) Nawatakia usomaji mwema. SURA YA KWANZA USIKU Saa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nikiwa naangalia TBC mchana leo, kuna kipindi kilichokua kikieleze asili ya vazi la khanga kuitwa "khanga" akihojiwa bi-mkubwa mmo1 aliekua akiongea kwa pronouce ya kizenji alisema asili ya Khanga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
My teacher of Kiswahili used to say kuna lugha ya mitaani na lugha sanifu. It is also true that our choice of words can completely alter the intended meaning and outcome in communication. Lets...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kumekua na maoni tofati ya watu nilio wahi kuwauuliza swali hili, sasa nataka na nyinyi wadau mnipe tofati ya kuona na kuangalia.
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Dear all i have my kids who are eager to learn french they are less than 8 year old. They somehow learn at their school. Unfortunately i know nothing about FRENCH. i am just wondering if anyway...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wale wataalamu wa lugha nisaidieni hizo tofauti ya hayo maneno, yananichanganya wajameni!!!!
0 Reactions
5 Replies
10K Views
HISIA ZITAPITA... Watuita chakaramu,ardhi yetu asili Watuvika uharamu,wageni wanowasili Matendo yao haramu,wamejawa ukatili Hisia hisia pita,haki itafuatia Wageuzwa mahadimu,habithi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
diplomasi maana yake nini
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nataka kusema: making a positive impact au impacting positively. NAsemaje kwa kiswahili? Natanguliza asante
1 Reactions
8 Replies
9K Views
Eti Kiswahili kinajitosheleza...nyoooo!! Hakijitoshelezi hata kidogo Jana nilikuwa na mjumbe mmoja mkongwe wa TATAKI(Taasisi ya Taaluma ya Kiswahili).Bila aibu akashindwa kunipa tofauti ya maneno...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Kufa kisabuni, kufa kiume Kujikaza kiume
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Kama mimi na wewe (msomaji) tunashea mama mzazi basi tunaweza sema ni ndugu wa "tumbo moja". Ikiwa tunashea baba je?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom