http://youtu.be/ZJArzOTZ8LU
lyrics
I have this image in my head that one day when I step off this airplane I'll be on this land where the air is sweeter than any fruit I have tasted and...
"Nyimbo hii itachangia kuharibu kiswahili" naomba mniambie kama ni sahihi kutumia "Nyimbo" katika umoja maana The boss ametumia nyimbo katika uwingi wakati wa kuuelezea wimbo wa hakunaga wa...
WANASUBIRI HUKUMU.
Nilikuwa nimetulia sebuleni nikiangalia TV. Nilikuwa mpweke kiasi kwani wanangu na wajukuu zangu wote walikuwa Ulaya wakiendelea na masomo. Mjomba'ngu mzee Kajisi yeye...
A Diamante is a seven-lined contrast poem set up in a diamond shape. The first line begins with a noun/subject, and second line contains two adjectives that describe the beginning noun. The third...
Wakuu wana JF natatizwa sana na maneno mawili; 'BARABARA' na 'NJIA'.
Naomba wataalam wa lugha ya Kiswahili wanifahamishe kama maneno hayo mawili yana maana sawa ama yanamaanisha vitu viwili tofauti.
Wataalamu wa lugha ya kiswahili naomba kufahamu, hivi ile inayotoka kwenye chungwa au kitunguu na kusababisha mtu kupalia na kupika chafya inaitwaje, wengine wanasema eti ni moshi wa chungwa...
Habari wana JF, npo kwenye gari kuna ubishan mkali. Kuna tofauti gan kati ya maneno haya.
1. Umeolewa 2.Umeowa 3.Tumeowana
No 3 ndio linaleta mkanganyiko sana. Ungewasaidiaje hawa watu?
Ndugu wanajamvi nimesikia kwa muda mrefu kuwa lugha ya taifa hili la Tanzania ni kiswahili, cha kushangaza ni kwamba kwenye shughuli nying za kitaifa tunatumia kiingereza kama lugha kuu...
Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali
Inasemekana sisi Tanzania ndio waongeaji wakubwa wa lugha ya kiswahili duniani, hivyo ni kama hii lugha adhimu sisi ndio wamilki
Je, kuna hatimiliki katika...
Habari za jioni Wana JF
Kwa wale ambao hamfahamu mwanakijiji zaidi ya kuandika mambo mengi ya kisiasa na kiuchumu ni mtunzi mzuri wa hadithi,mashairi..yanayo wenza kuwekwa kwenye Jukwaa la...
In the darkness of the night
I feel something is not right.
There's a silence I apprehend,
Something I can't touch with Hand .
there is a part of me feeling cold,
And my heart is all...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.