Misamiati mipya hii hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Misamiati mipya hii hapa

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Mwita25, Nov 1, 2011.

 1. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Nimekutana nayo kwenye kamusi ya BAVIZA nikaona si vibaya tuambizane:
  1. Chegari: Sehemu inayotumika kunyoa nywele wanaume (barber shop)
  2.Tabaharia:Kubobea katika uelewa au utaalam wa jambo fulani
  3.Kicheche:Mwanamke anayefanya biashara ya mama ntilie.
  4.Kinyunguriko:Mwanaume anayetoka nje ya ndoa yake.
  5.Mkuchuku:Mwanamke anayependa kupigwapigwa na mumewe.
   
 2. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,147
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo wakurya ni Mkuchuku.
   
 3. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,533
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 280
  Kwenye Red pananifanya nihisi kuwa hiyo kamusi imesimamiwa na Chacha, Mwita
  n.k
   
 4. wajaleo

  wajaleo Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 26, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Sawa mkuu.
   
 5. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kuna maneno hapo yakitumika tangia zamani na wala si msamiati mpya.

  Tabaria ni hali ya kutokwa na jasho.
  Kicheche ni mnyama mdogo wa Afrika alaye nyama. Ana milia myeupe na myeusi na anatoa maji yanukayo sana kutoka matezi yake.
  Vilevile neno Kicheche linatumika sana haswa kwa mtu mwenye tabia ya kufanya uhuni, kama vile umalaya... mtu asiye jiheshimu.
   
Loading...