kuna tufouti gani kati ya kuona na kuangalia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kuna tufouti gani kati ya kuona na kuangalia

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by aseenga, Oct 24, 2011.

 1. aseenga

  aseenga Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 25
  kumekua na maoni tofati ya watu nilio wahi kuwauuliza swali hili, sasa nataka na nyinyi wadau mnipe tofati ya kuona na kuangalia.
   
 2. t

  tshaka Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Apr 16, 2010
  Messages: 56
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hauwezi kuona bila ya kuangalia,but unaweza kuangalia lakini husione icho kitu,
   
 3. SaidAlly

  SaidAlly JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,798
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Kwa kawaida, unaanza kuangalia ndio inakuja kuona. Huwezi kuona bila kuangalia, kwamba kuona ni kitendo kinachofuatia baada ya kuangalia.
   
 4. Kimolah

  Kimolah JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 327
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 60
  kuona ni kuitambua taswira,au uwepo wa kitu, kuangalia ni kunyambulisha 'details' za kitu kionekanacho...huu ni mtizamo wangu.
   
 5. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,520
  Likes Received: 1,515
  Trophy Points: 280
  Hapa ni sawa na kusema, siri ya biashara na biashara ya siri...kwa mfano, unaweza kuona na usiangalie, vilevile unaweza kuangalia na usione....ie, unapita mtaani "ukaona" vijana wanacheza mpira, lakini "usiangalie"...mwezi umeandama, m2 anakuonyesha "angalia",pale, lakini "usione"! Kuona na kuangalia, ni vi2 viwili tofauti. Aaah!
   
 6. d

  dolson masaki Member

  #6
  Oct 28, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yap je kuangalia na kutazama?
  Mimi naona kuona inarelated na ubongo mf. Naona umekasirika but kuangalia ni kutoka kwenye upeo wa macho!
   
 7. M

  Mlumendo obeid Member

  #7
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  aise kuona ipo ndan ya kuangalia! Namaanisha kitendo cha kwanza kufanyka ni kuangalia then ndo kuona kunakja badae! But kumbka unaweza kuangalia usione but huwez kuaona bila kuangalia/tazama.ni hayo tu!
   
 8. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Hii thread hapa sio mahali pake hemu ipeleke kwenye lugha huko nadhani utapata majibu sahihi zaidi.
   
 9. Isimilo

  Isimilo JF-Expert Member

  #9
  Oct 30, 2011
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 219
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa mfano mwanamke akiwa mbele yako ghafla Utamwangalia ila kama ameshakupita ukageuka na kuendelea naye hapo tunasema unamuona ambapo ni zaidi ya kuangalia, na unakuwa kwenye hatari ya kuingia kwenye dhambi ya kutamani
   
Loading...