Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
ninavyofahamu mimi neno malaya (prostitute) NI mpenda ngono zembe. Wamalaysia pia wanaitwa malaya. sasa wataalam naomba msaada ni sahihii kwa malaya wa kimalaysia kumwita malaya wa kimalaya or...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
karibuni tena jamvini
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1.Luninga----TV 2.Chokoraa-----Mtoto wa mtaani 3.Manzi-------Demu(Girlfriend) 4.Chapaaa-----Fedha 5.Chang'aa-----Gongo 6.Keroro------Pombe 7.......... Ongezea na wewe Nawasilisha
0 Reactions
10 Replies
4K Views
eti ugonjwa wakupenda chini ndo ngoma????
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tafadhali nieleze maana ya kole / makole na mkole / mikole na chanda la mnazi. Asante sana.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu nauliza swali langu kuna tofauti gani kati ya haya maneno ya kiingereza Mtu kusema hili neno (I love you) au kutumia neno hili (I like you) nawaomba munijuze Wakuu.........
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Ni kabila lipi nchini ambalo lafudhi au matamshi yake,ukizungumza tuu hadharani unajulikana sahiyo hiyo?
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Naombeni tofauti ya typo or thumbo na language mistake pamoja na mifano yake, Leteni darsa wadau nataka niongeze ilmu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Owete gi nyimine ma nyikwa Ramogi Ajwang' udhi nade? Amosou uduto ni okwe uru!
0 Reactions
17 Replies
3K Views
"Kafata Nini Nchini?" Nawauliza wajuzi, myajuayo ya ndani Alipofika majuzi, akenda hadi chumbani Kama vile paka jizi, akivizia machoni Kafata nini nchini, kichaka huyo mwajua? Nawauliza...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Nisaidieni tafsiri ya kiingereza kwa maneno haya kufuga nywele kibanio cha nywele (cha akina mama) nywele za kipilipili kipara mba (wa kichwani) kunyoa nywele kwa wembe kusuka nywele...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wanajamvi. Maneno haya kwa kimombo nadnai ni effective na effincieny. Lengo la uzi huu ni kuleta mjadala na changamo ya kueleta uzi huu ni kuyafafaua kwa mifano hai tunayoona , tunayotumia...
0 Reactions
4 Replies
17K Views
wanajamvi karibuni kwa starehe zenye majonzi
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unaweza kumuona mwenzio mwenda wazimu kumbe wewe ndio ndio mheshimiwa wao Nani mwenye makosa ya lugha kati ya mgonjwa na Dr? Kwa hisani ya gazeti la uwazi
0 Reactions
0 Replies
2K Views
aahhh vituko hivi vituko, visikieni jamani jimama kakosa mwiko ,atumia wa jirani keshazua sokomoko,na gumzo mtaani hakukitaka kijiko ,alichonacho nyumbani. mwengine katuchekesha,vioja...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wadau,!..
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba kusaidiwa ufafanuzi baina ya maneno haya mawili : 1. Repeat 2. Again sijakurupuka ktk kayauliza nimeshayafanyia uchunguzi wa kina nakuta mwishoe ktk matumizi yanaleta tendo la...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nini maana ya 1. swaga? na 2.masaburi? plz helper!?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
On my 2nd year Studying Medicine nilipokuwa napata time mostly weekends nilikuwa na hudhuria darasa la philosophy and this Novel was recommended na Professor SOPHIE'S WORLD A Novel About the...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Jamani kuna story nimeanza kuandika inaitwa HARD-DISK Naombeni msaada wenu tafsiri ya neno hili kwa kiswahili!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom