tofauti kati ya MAONYESHO na MAONESHO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tofauti kati ya MAONYESHO na MAONESHO

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Poriposha, Oct 29, 2011.

 1. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wale wataalamu wa lugha nisaidieni hizo tofauti ya hayo maneno, yananichanganya wajameni!!!!
   
 2. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,551
  Likes Received: 18,226
  Trophy Points: 280
  Maonyesho ni exihibition kama sabasaba nanenane, wiki ya utumishi wa umma au miaka 50 ya uhuru ikihusisha display ya activities au products.

  Maonesho ni kuoangalia onyesho kama tamasha, onyesho la muziki, onyesho la fiesta etc.

  Ni kweli wengi wanachanganya maonyesho ya kuonyesha na onyesho la kutazama kama show.
   
 3. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ona-onesho
  onya-onyesho
   
 4. C

  ChiefmTz JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 15, 2008
  Messages: 2,507
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
   
 5. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kama nakubaliana na wewe vile ngoja nicheki na wengine, umenipa pakuanzia big up!!!!
   
 6. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2011
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,068
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  onyesho inatokana na onya
  onesho inatokana na ona.
  mfano.hili onyo la mwisho ukirudia unapewa adhabu.
  tumetoka kuona maonesho waliyotuandalia sabasaba.
   
Loading...