Haya tena nina Swali Langu vipi kuhusu jando na unyago?

Naona swali langu ni gumu mumeshindwa watu wa Great Thinker? Kumbe humu ndani siku hizi ni maji matupu hakuna Ma Great Thinker humu ndani Ya Jamii forums?
 
Kuna mmoja kanambia Jando ni kutahiriwa, na Unyago ni ritual nzima ya kutoka katika utoto na kugeuka mwanaume. Ila kasema mwenyewe kua he may be wrong or right... tusubiri wengine waje kuchangia pia. Unauliza to test our knowledge au unauliza to learn from us?
 
Ni kweli lakini umenijibu kwakifupi kuna kozi ya huo unyago je inakuwaje hiyo kozi?
 
unyago ni mfumo wa informal education inayotolewa na makungwi kwa vijana ambao wanatoka katika umri wa utoto na kuingia ktk utu uzima ni mafunzo yanayohusu life skills na jinsi ya kuishi na wenza wao, Jando ni tohara na hii hufanywa baada ya mafunzo ya unyago na huwa kama ishara kuwa fulani amefuzu mafunzo ya unyago na amepata tohara, ndo maana ktk jamii zinazopractice hili mtu asiyeenda jando huzarauliwa kuwa hajafuzu kitu flani
 
Bravo umepatia sana hongera ningelikuwa Moderator ningelikupa ngao ya dhahabu ya Jamii media Gold lakini wapi. Ninamuomba Mkuu XPaster akupe hiyo zawadi asante kwa jibu limenitosheleza sana .

attachment.php
 
Kumbe jibu ulikua nalo eeh?
Haya mshindi, nadhani jando ni kwa wanaume tu. Wanawake wanafuzu huko huko kwenye unyago hata kama tohara itakuwepo japo ni kinyume na sheria.
MziziMkavu,una mwanao wa kupeleka unyagoni? Mie ni nyakanga and I'm mobile,nikupatie quotation?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom