Gurta JF-Expert Member Sep 17, 2010 2,234 531 Oct 25, 2011 #1 Kama mimi na wewe (msomaji) tunashea mama mzazi basi tunaweza sema ni ndugu wa "tumbo moja". Ikiwa tunashea baba je?
Kama mimi na wewe (msomaji) tunashea mama mzazi basi tunaweza sema ni ndugu wa "tumbo moja". Ikiwa tunashea baba je?
Gurta JF-Expert Member Sep 17, 2010 2,234 531 Oct 26, 2011 Thread starter #3 King'asti said: Ndugu wa baba mmoja? Click to expand... Najaribu kufikiria jibu linalolandana na "tumbo"
King'asti said: Ndugu wa baba mmoja? Click to expand... Najaribu kufikiria jibu linalolandana na "tumbo"