Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Neno "Masaburi" Lina maana gani?

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by GAZETI, Oct 27, 2011.

 1. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 2,906
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Huu umekuwa ni msamiati mpya kwangu na unatumika sana hapa JF
  hivi hili neno hasa lina maana gani? "MASABURI"
   
 2. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #2
  Oct 27, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 8,698
  Likes Received: 1,030
  Trophy Points: 280
  MASABURI ni kiongozi mmoja mkubwa tu katika halimashauri ya manispaa ya Kinondoni. Lilipoibubuka suala la uzwaji holela wa UDA (Usafiri Dar es salaam) viongozi ndani ya manispaa wakaanza kuthumiana. Didas Masaburi, kujibu mapigo, akatumia media kuwashambulia mahasimu wake akiwemo Zungu-mb, kuwa wanafikiria kwa kutumia makalio. baada ya kuwatukana, hivyo, hapa JF, ukiandika kitu halafu mtu asikubaliane na wewe, anaamini hujafikiri kwa kutumia kichwa chako, bali umetumia makalio. Kupunguza ukali wa maneno, basi atakucoment, umetumia UMASABURI- yaani umefikiri kwa makalio na sio kichwa. Ndivyo ninavyofahamu
   
 3. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #3
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,150
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Saburi,masaburi=kalio/makalio.
  OTIS.
   
 4. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #4
  Oct 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 2,906
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Duh! Nimecheka sana wakuu!
   
 5. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #5
  Oct 27, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 360
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Masaburi siyo kiongozi wa halmashauri ya kinondoni bali ni MEYA WA jiji la DAr es salaam!!!!!
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Oct 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 24,517
  Likes Received: 5,705
  Trophy Points: 280
  Kwani mkuu wewe huwa unafikiria kwa kutumia nini? Hahahaaa JF full shangwe bana, Masaburi ni MSIMU (msiamiati wa muda) unaomaanisha makalio kama ilivyoelezwa vema hapo juu na kama utakomaa (ukiendelea kutumika) basi utaingia kwenye matumizi zaidi kama neno KIHIYO ambalo kwa hakika ni jina la mtu lakini sasa it means mtu asie muelewa!!! Duh kaazi kweli wewe na wewe umefikiria kwa kutumia nini??? kazi ni kwako
   
 7. v

  valid statement JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,730
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  umemweleza vizuri.
   
 8. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #8
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,557
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  tumekusoma
   
Loading...