msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,730
Tunaanza bila kuchelewa
Kukoropa---------- Kupiga deki
Kunya---------------Kunywa
Mbele----------------Kabla
Kugoma-------------Kunyoosha nguo au kupiga pasi
Kinono---------------Kongolo
Sombe----------------Kisamvu
Lengalenga-----------Mchicha
Kunyamba-----------kwenda haja kubwa
Fufu-------------------Ugali
Kuya------------------Kuja
Kupiga-----------------Kupika
Koyola----------------Kojoa
Mbio-------------------Upesi
Tosha-----------------Toa
Nyangula-------------Nyenyua
makaku---------------Kima/nyani
Soso-------------------Kuku/hii pia ni lingala
Kunyumba------------Nyumbani
Fungula----------------Fungua
Njo vile-----------------ndio hivyo
Nisiikilie huruma-------nisamehe
Pika---------------------piga
Njala---------------------njaa
Ndazi-------------------andazi
Kasamunyu-----------Ndizi za kupika
Ndizi-------------------ndizi kisukari
Bitika-------------------Ndizi mbivu
Tate-------------------bibi au babu
Mloko yangu---------mdogo wangu
Malofu------------------pombe/ulabu
Kanyanga-------------gongo
kesho maneno mengine kibaaao
Kukoropa---------- Kupiga deki
Kunya---------------Kunywa
Mbele----------------Kabla
Kugoma-------------Kunyoosha nguo au kupiga pasi
Kinono---------------Kongolo
Sombe----------------Kisamvu
Lengalenga-----------Mchicha
Kunyamba-----------kwenda haja kubwa
Fufu-------------------Ugali
Kuya------------------Kuja
Kupiga-----------------Kupika
Koyola----------------Kojoa
Mbio-------------------Upesi
Tosha-----------------Toa
Nyangula-------------Nyenyua
makaku---------------Kima/nyani
Soso-------------------Kuku/hii pia ni lingala
Kunyumba------------Nyumbani
Fungula----------------Fungua
Njo vile-----------------ndio hivyo
Nisiikilie huruma-------nisamehe
Pika---------------------piga
Njala---------------------njaa
Ndazi-------------------andazi
Kasamunyu-----------Ndizi za kupika
Ndizi-------------------ndizi kisukari
Bitika-------------------Ndizi mbivu
Tate-------------------bibi au babu
Mloko yangu---------mdogo wangu
Malofu------------------pombe/ulabu
Kanyanga-------------gongo
kesho maneno mengine kibaaao
Chanzo: WikipediaKingwana
Kingwana ni lahaja ya Kiswahili inyaozungumzwa katika Kongo.
Chanzo cha Kingwana ni Kiswahili cha wafanyabiashara na askari kutoka pwani la Tanzania walioingia katika Katanga kwa biashara ya watumwa na pembe za ndovu wakati ya karne ya 19 kabla ya ukoloni.
Lugha ikaendelea ilipokuwa chombo cha mawasiliano katika mchanganyiko wa makabila walioelekea kutafuta kazi katika migodi ya Katanga na Kongo ya Mashariki.
Mfano wa Kingwana
HABARI NJEMA KAMA YOHANA ALIANDIKA
Ku mwanzo Neno alikuwa, na Neno alikuwa pamuya na Mungu, na Neno alikuwa Mungu. 2 Ye njo alikuwa ku mwanzo pamoya na Mungu. 8 Vitu yote zilifanywa na ye; na haiko na ye, kitu haikufanywa ile ilifanywa. 4 Ndani yake ilikuwa uzima; na uzima ilikuwa nuru ya watu. 5 Na nuru inangala ku iza; na iza haikusinda ye. 6 Mutu moya alitokea, alitumwa kutoka ku Mungu, jina yake Yohana. 7 Ye njo alikuya sahidi, asuhudie nuru, watu yote waamini kwa sababu yake. 8 Hakukuwa nuru ile, lakini alikuya asuhudie nuru. 9 Nuru ile ilikuwa nuru ya kweli, ile inapatisa nuru kila mutu ile anakuya ku ulimwengu. 10 Alikuwa ku ulimwengu, na ulimwengu ilifanywa na ye, na ulimwengu haikuyua ye.
(Mwanzo wa Injili ya Yohane katika Agano Jipya)
Last edited by a moderator: