Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,209
- 4,406
1)kikali kisu cha ng'ata,mwite mbwa ujutie.
Baragumu bini tata,kizibao jivalie.
Kipigo pu chini chali.
2)mkia atapofyata,muoga yeye si ndie.
Sivyo anavyofuata,ngoja ajikimbilie.
Kipigo pu chini chali
3)kimya kigumu mbatata,maudhi ufurahie.
Mbona amewasha data,vipi ajinyamazie.
Kipigo pu chini chali
4)udhanivyo kumbe bata,ila kweli uchukie.
Nilidhani ni kikata,kumbe kitembe cha nyie.
Kipigo pu chini chali.
4)sawa utakakata,kwanza chini utulie.
Hukudhani kwamba ngata,si mbeleko udandie.
Kipigo pu chini chali.
5)naona kama yanata,mtego autegue.
Mara puu ti tatata,si subiri ajinue.
Kipigo pu chini chali.
6)kwiricho kwiricho ki ta,kifunge afungulie.
Mara kochokocho kwita,sitaki tujililie.
Kipogo pu chino chali.
7)tena katakata tata,mara tutututu tie.
La la la la la hata,subiri nikuambie.
Pigo pu chini chali.
Shairi:CHINI CHALI.
Mtunzi:Idd Ninga wa Tengeru Arusha.
0655519736.
0765382386
iddyallyninga@gmail.com
Baragumu bini tata,kizibao jivalie.
Kipigo pu chini chali.
2)mkia atapofyata,muoga yeye si ndie.
Sivyo anavyofuata,ngoja ajikimbilie.
Kipigo pu chini chali
3)kimya kigumu mbatata,maudhi ufurahie.
Mbona amewasha data,vipi ajinyamazie.
Kipigo pu chini chali
4)udhanivyo kumbe bata,ila kweli uchukie.
Nilidhani ni kikata,kumbe kitembe cha nyie.
Kipigo pu chini chali.
4)sawa utakakata,kwanza chini utulie.
Hukudhani kwamba ngata,si mbeleko udandie.
Kipigo pu chini chali.
5)naona kama yanata,mtego autegue.
Mara puu ti tatata,si subiri ajinue.
Kipigo pu chini chali.
6)kwiricho kwiricho ki ta,kifunge afungulie.
Mara kochokocho kwita,sitaki tujililie.
Kipogo pu chino chali.
7)tena katakata tata,mara tutututu tie.
La la la la la hata,subiri nikuambie.
Pigo pu chini chali.
Shairi:CHINI CHALI.
Mtunzi:Idd Ninga wa Tengeru Arusha.
0655519736.
0765382386
iddyallyninga@gmail.com