*POLE MTU MWEUSI.*
1) _pole watu weusi,kwa kuzidi kuonewa._
_Poleni watu weusi,kwa kuzidi baguliwa._
_Poleni watu weusi,kwa kuzidi kuuliwa._
*Poleni watu mweusi,ubaguzu wendelea.*
2)wala si...
Hii thread ni Maalum kwa MANGI wote waliopo Mjini. Tuendelee kufundishana Kichagga na ile Misemo/Methali za Watu wa Kale ili kutunza Mila na Desturi zetu.
Kuna Misemo kama "Mokaa kacha nekenyo wa...
*KISOMO KIRUMIRUMI.*
1)wimbo sasa wanifunza,na vyema nauelewa.
Ndo kwanza tumeshaanza,wala hatujachelewa.
So kila zazi la nyanza,lakili kulewalewa.
Kisomo kirumi rumi,chaundwali tukisome...
Hivi hii hadithi tuliyoisoma kwenye somo la kiswahili kati ya darasa la 3 na std4 iliyokuwa inasema "MUWA WAZAMISHA MELI" hivi ilikuwa inamaanisha nini..!?
Kisa cha kweli mzuka!
1
Kisa cha kweli mzuka, ulipotajwa bungeni
Ilikuwa heka heka, ninawajuza juweni
Walihamaki mzuka, u wapi hapa bungeni?
Ni mtihani mzuka...
Kisa cha kofia bungeni
1
Kisa cha sasa kofia, kimetokea bungeni
Na hoja aliitoa, akilalama bungeni
Kwa kina kaelezea, kadharauliwa juweni
Kisa cha kweli kofia, kimetokea bungeni!
2...
Shule zafunguliwa watoto kuhudhuria
Wakubwa kwa wadogo maarifa kujipatia
Pekupeku twaenda na kamasi zikitutoka
Yeye atukumbatia bila kujali twamchafua
Hakuna kama mwalimu jamii yote yajua.
La...
Viongozi, napata shida sana kufahamu, usahihi wa uwingi wa maneno haya hapa chini, usahihi wake ni upi?
Mbuzi/kuku/ng'ombe/samaki wangu au Mbuzi/kuku/ng'ombe/samaki zangu???
Nasikia wengine...
Jana usiku mwanangu Ngina kanistukiza na swali, akitaka kujua eti Senene wanaitwaje kwa kiingereza.
Nilijifaragua, kisha nikamwambia nitamjibu baadae, hata hivyo nikamtoroka nikaenda kulala, leo...
Napata wakati mgumu sana kuelewa neno nipo/tupo kwenye mchakato linamaanisha nini hasa? Maana kila mtu analitumia atakavyo,mwenye uelewa zaidi anijuze.
Waanzilishi wa lugha ya kiswahili walikuja na maneno mengi ya kiswahili.
Kuna baadhi ya maneno yalitumika kwa nadra, lakini yalipata kipaumbele kufanywa kama maneno matukufu katika lugha , kama...