Wakati mwingine hili neno huwa Linanipa shida sana. Unakuta Mtu anakupigia simu au SMS Kuku salimia. Anauliza uko wapi hatuonani,ukimwambia nimesafiri tu kosaaaa." Unijie na zawadi" ndio...
Salaamu wandugu,
Sio kila siku kupondana tu ,siku nyengine kusifiana na kutiana moyo ni bora.Kwa leo ningependa tuwape pongezi kwa kuwataja majina wazee wa umombo uliokwenda shule.Mimi ninaanza na...
AFRIKA KUNA MATATA.
1)nawaambia wenyeji,wenyeji wa bara hili
Wenye nusu ya uchaji,tena waso wa bahali.
Walojawa ufujaji,wala wao hawajali.
Nimeuchoka uongo,Afrika kuna matata.
2)machafuko kila...
Nimekutana na Hili neno limeandikwa mahali nikashindwa Kuelewa maana yake naomba wajuzi wa lugha wanisadie "FIKRA ZILIZOCHOKA HUZAA MAWAZO YALIYOCHOKA"
Academician habari za Jioni hii, tafadhari kwa heshima naomba kuleta hoja yangu mezani kwenu nyie kama Wasomi na watu Weredi wenye ujuzi mbalimbali, Nahitaji kujifunza Lugha za kigeni Mfano...
Anzali tulomo humu,waja wote tulobaki
Twaomba kwa ufahamu,kheri kwenu losabiki
Wapiganaji kaumu,walumbi wa taufiki
Dua kwenu marehemu,mlofia zetu haki
Swala zetu zi muhimu,na mola aziafiki...
Habari wanaJF,
Ninaomba uzi huu uwe maalumu kabisa kwa ajili ya kuvielewa kwa majina vifaa vya kielectronic na vya teknologia ya habari na mawasiliano (IT) na terminology zake. Unacho takiwa...
The Paragon international is offering an ultimate French course to young students and adults. We have very experienced teachers who can make you speak fluently French in only three months. You can...
Habari za jioni waungwana! naomba kujuzwa maana ya maneno yafuatayo
Nderemo
Vifijo
Cherekochereko
Nnachotaka kujua nikua je haya ni maneno sanifu yakiswahili na kama ndivyo yanamaana gani na...
Greetthinkers!!!!!!!!!!
katika pitapita zangu nilikuta mjadala huu wa binadamu na watu ni tofauti;
kuwa binadamu ni wote wenye ngozi nyeupe na watu ni wote wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.