*see me like I see you*
I see you royal
I see you loyal
I see you far from rough,
Actually I see my other half
I see you sane and wise,
I cannot see you other wise
I see a friend and a wife...
Wakuu nimewaletea uzi huu baada ya kubaini kuna UTATA wa maana ya neno MTAKATIFU na ni yupi anaye stahili kuitwa na kinyume chake ni nin.
Kwanza MTAKATIFU ni neno la kiswahili linalotokana na...
Shimbonyi?
Lugha Yangu mm najua kuongea kinyaturu na kiswahili tu, lakin katika pitapita zangu nimekutana na wachaga wengi wananiuliza wew nyumban wapi?? Na nikiwatajia jina langu wananiambia...
Wasalam ...
Lugha ya malkia inayo maneno mengi ambayo husababisha "ukakasi" katika matumizi yake wengi wetu tukiyatumia visivyo ama kwa mazoea au kwa kutojua ....
Leo tutaanza na maneno...
Vipimo vya kimila
Kabla ya kuundwa kwa vipimo sanifu vya kimataifa (SI) kulikuwa na vipimo mbalimbali vya mjao vilivyo tofauti kati ya nchi na nchi.
Vipimo vya Kiingereza
Hadi leo vipimo vya...
Karume alisema hatuwezi kuiacha nchi hivi hivi tu maana ndugu zetu wa zanzibar huko nyuma wamefirika sana.
Yani mtu hata uchungu wa nchi hii hana eti anataka kua kiongozi "Alimalizia kwa kusema"
Kuna misemo/nahau za kiswahili nahisi hazina nafasi tena. Hii inatokana na uhalisia wa kizazi na maisha ya sasa. Mfano alie juu mngoje chini/haraka haraka haina baraka, kwa kizazi cha sasa...
Hivi watanzania wanafikiria nini kujifunza maudhui ya Kiswahili kwa kutumia Kiingereza? Ni kama Mchina kuamua kijifunza maudhui ya Kichina kwa kutumia Kiswahili, sio uchizi huo? Au mwingireza...
Msaada jamani anayeelewa . Hili neno linatumika sana kwenye makampuni, mfano. Ubungo Plc, Crdb bank plc,Nmb plc. Anayejua atueleze kwani wapo wanaotoa tafsiri mbalimbali, kama vile Public...
Samahan kwa kupost hii hojq humu.. Naomba mawazo yenyu
Hivi neno SHILAWADU ambalo tumelitumia sana jamii forums na kibongobongo mitaani..Linafaa kuingia katika lugha ya kiswahili?
Kuna uwezekano...
Hivi kinachowafanya wasanii wa kibongo kuonesha upungufu wa lugha kama vile ilivyo katika upungufu wa kinga mwilini ni nini? Yaani mtu anachafua lugha kwa kuchanganya Kiingereza na Kiswahili...
Kifupishohuni KINAHARIBU BADALA YA KUBORESHA KISWAHILI
Kifupishohuni ni neno linalotokana na maneno= -fupisha na -huni. Wingi wa Kifupishohuni ni Vifupishohuni.
Sikuhizi kumekuwa na tabia ya...
Mimi nazungumza na kufunfisha lugha tajwa, kituo kipo Arusha ila ukihitaji kujifunza hata ukiwa mbali, inawezekana maana zipo attachment, na zitakusaidia kusoma online...
Tuwasiliane 0746 30 70 70
Am looking for a French translator, to translate some materials from
Swahili/English - french,
Kama ni wewe au unamjua mtu pls nipm contacts zake,
Mercy b-asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.