Dark Angel
JF-Expert Member
- Sep 12, 2013
- 212
- 220
"Wa Mbele Inameni Wanyuma Tupate Kuona"
Niliipata kipindi nipo Olevel, form three Kama sikosei.Hhhahah sijawahi kuisikia hiyo tungo mkuu umeitoa kwenye kamusi gani kwa mfano
Utata wa hiyo tungo ni nini...kwa jinsi ilivyo ni kuwa watu waliokuwa mbele walizidi urefu kiasi cha kuwazuia walio kuwa nyuma yao wasione kilicho mbele....Niliipata kipindi nipo Olevel, form three Kama sikosei.
Wengine husema hivi " Wendao watawajuza wajao ""Wa Mbele Inameni Wanyuma Tupate Kuona"
Wanasema sichomoi, kwani nimemchomeka nani?
DuhIkisimama panda
Wanasema sichomoi, kwani nimemchomeka nani?