dalalitz
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 3,476
- 2,086
Habarino.
Eee, - Hivyo yani.
Unaambiwa:
Papa shurti anuke,
Aso' nuka, - Si Papa huyo.
Harufu 'HALISI' kali,
Lakini 'ISO' KERA'.
Naam, ndio Sifa muhimu,
Yaani ndio Ladha'ye Papa.
Baadae vitimie Viungo,
Kisha mpishi alikalie Pishi'le Kitako haswaa.
Tatizo hatuna Wapishi Wazuri siku hizi,
Waandaaji nao ni shida.
Pia, Walaji Si wengi wajuayo haya.
Matokeo yake Papa anaonekana KERO.
Aah!
Chuzi shatashata la Papa
Litakuacha ukijilamba vidole.
Unaweza ukapitiwa hadi ukaomba
Sufuria Ili Ukombe kabisa ,
Tobah!
-Kumbe, upo Ukweni.
Eee, - Hivyo yani.
Unaambiwa:
Papa shurti anuke,
Aso' nuka, - Si Papa huyo.
Harufu 'HALISI' kali,
Lakini 'ISO' KERA'.
Naam, ndio Sifa muhimu,
Yaani ndio Ladha'ye Papa.
Baadae vitimie Viungo,
Kisha mpishi alikalie Pishi'le Kitako haswaa.
Tatizo hatuna Wapishi Wazuri siku hizi,
Waandaaji nao ni shida.
Pia, Walaji Si wengi wajuayo haya.
Matokeo yake Papa anaonekana KERO.
Aah!
Chuzi shatashata la Papa
Litakuacha ukijilamba vidole.
Unaweza ukapitiwa hadi ukaomba
Sufuria Ili Ukombe kabisa ,
Tobah!
-Kumbe, upo Ukweni.