Huyu ni mheshiwa jana kwenye taarifa ya habari alipotembelea taasisi ya upasuaji Muhimbili alirudia mara kwa mara neno operation(upasuaji) kwa kulitamka ndivyo sivyo kwa kusema oppression...
Iwe kwa tungo tata, nahau, hadithi, ushairi, tenzi, ngano ama lolote liwe katika mapana yake kwenye uwanda wa Lugha, basi lugha yetu iwe moja #freemaxencemello .
Salamu wana JF.
Hivi huwa tuko sahihi tunavyotumea neon Maliasili kumaanisha Natural Resource au tulipaswa kutumia maneno Rasilimali Asili?
Wataalamu wa Kiswahili tafadhal
Katika harakati zangu za kujiongezea ufahamu wa lugha ngeni niliamua kuanza kujifunza lugha ya Kiarabu kwa miezi kadhaa sasa.
Jambo ambalo limenishangaza ni kukutana na maneno mengi ya kiarabu...
Wanajamvi naomba mwenye kujua anijuze kwa kiingereza kile kitu ambacho huwa kinaning'inia mwishoni mwa mkungu wa ndizi, ni cha rangi ya damu ya mzee ,mara nyingi baada ya ndizi kuchanua chane zake...
Salaam wana JF
Tukiwa tumeingia mwezi wa mwisho kuhitimisha mwaka huu, ebu tukumbushane kauli, misemo na maneno yaliyojipatia umaarufu mkubwa kwa awamu hii kuanzia mwaka kipindi cha kampeni mwaka...
#daaaaaa #mnaikumbuka lkn #Hii
1. Karudi baba mmoja,
toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja,
na kutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja,
ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli iwafae maishani...
1.Huba lako limeniteka, mateka najililia
hakika umenishika, sina pakukimbilia
huba wa mahaba, moyoni najivunia
vuno la mahaba, mwilini nalisikia.
2.Mpenzi wa enzi, nipe pasi kitenzi
mazuzu...
MWIZI WA KUKU.
1)Haki wala hina macho, na ndo mana haioni.
Haki imewa kificho, imeshia kitabuni.
Mwizi wa kuku afungwe, mchota hela aringe.
2)haki imewa zindiko, lifanyiwalo porini.
Haki kama...
Salaam
Nimesikiliza kipindi kilichokuwa kinarushwa na Clouds radio leo katika kuadhimisha siku ya ufahamu kuhusu ndugu zetu wenye ulemavu wa ngozi " albinism awareness day".
Pamoja na kujifunza...
Huu ni uandishi gani jamani? Nimekutana na baadhi ya maneno mwandishi aliyatumia akijaribu kuelezea muswada wa sheria uliowasilishwa juzi bungeni. Nimesikitishwa jinsi tunavyoharibu lugha yetu...
BRAZA SOMA NYAKATI.
1)kubebana na mbeleko,zama zile zimepita.
Mbwa mkali si koko,huyu sasa anang'ata.
Atakuvunja ugoko,ukileta za kuleta.
Braza soma nyakati,zama hizi si mchezo.
2)Atakuchapa na...
FUNIKA FUNUA.
1)kimesikika kishindo,cha pupu cha mfa maji.
Mbeba jembe na nyundo,nae du mjuaji.
Sera imetupwa kando,anena su msusaji.
Haya funika funua,umeshakufa ukuta.
2)Jambo limeshindwa...
wale wazee wa kununua wajasilia mwili a.k.a machangudoa hili neno mchati ni neno famous sana kwao
machangudoa mtu anayewanunua wanamwita mchati
utasikia "niko na mchati wangu" "yule mchati...
Naomba msaada kuhusu hiyo topic kwa nini (Masheikh) wakisimama kudai haki wa waumini wa waislam anashitakiwa/kushutumiwa Kuwa ni Uchochezi? (NI HOJA YA KUJADILI WALA ISIFIKIRIWE VIBAYA.)
Ugaaagaa umesambaa katika mashamba ya wasambaa hadi wakashangaa.
Kaka kale kakuku keupe kako kwako kaka
Nini kikusikitishacho
Kafa manzese mazishi Sinza
Ongeza Nawe Ya kwako tuzidi kujifunza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.