Naomba ufafanuzi tafadhali. Mtu mwenye kisirani anakuwa katika hali gani? Kisirani ni hasira.? Nini tofauti ya hizi hali.
Naomba na mifano kamaitawezekana.
Nawakilisha
Abari ndugu zangu na wana kiswahili... Kuna maneno ambayo yanatumika mujarabu kama ya kiswahili lkn kumbe yameathiriwa na lafudhi zetu mfano:-
For line = foleni
I see= aisee
Kma unao mfano...
Moja ya mashairi yake yanasema:
Kama ni watoto fika kwetu posa,
utawaona,utawaona,
usifike kwangu utaleta fujo, na mpenzi wangu wa sasa
tulitalaka na wewe bila kuleta kitu kwetu...
Simjui...
Kiswahili haina Q.
Nimekaa muda mrefu na kutafakari kama kuna neno la kiswahili lenye q ndani yake.
Kwa muda sasa keyboard ya simu yangu imenigomea kuandika q lakini hata hivyo sijahihitaji...
Wanajamvi za mda huu nina shida ya kutokujua kuandika ngeli naomba msaada wenu,kuongea najua ila kuandika ndo issue.ntashukuru kama mtanisaidia kwa hilo mana niko form 2.napaya shida sana darasani
NA BIFU NA ADIMINI.
1)nione sina adabu,ukweli nikuambie.
Niseme kilo nisibu,upende na uchukie
Acha nipige ulabu,na haya inikimbie.
Na bifu na adinimi,natamani nikuteke.
2)ni mbaya yako...
Ninaomba kuanzisha hii mada baada ya kusikia kwamba kuna mahali walimu wamefukuzwa kwa sababu ya kuongea kiswahili katika mazingira ya shule.
Niseme tu kwamba naunga mkono jambo hilo kwa asilimia...
Inasemekana kwamba asili ya neno daladala ni zama za Mwl Julius Nyerere wakati shilingi tano likuwa sawa na dolar moja ya kimarekani hivyo shillingi tano ikawa inaitwa dala na wapiga debe enzi...
Ili mtu utukane,au ili mtu uonekane umetukana kuna vigezo gani au kuna misamiati gani itafanya mtu aonekane ametukana!!!??
Je mtu anayekuambia 'pua yako'
Anakuwa amekutukana??? Kama jibu ni...
Wale wataalamu wa lugha naomba mnisaidie kuondoa utata katika matumizi ya maneno yafuatayo ktk kumaanisha USIWE NA HOFU/SHAKA :-
1) Worry out
2) Worry not
Ni lipi SAHIHI kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.