Hii sentensi inakuwaje kwa kiingereza?

Hii sentensi inakuwaje kwa kiingereza?

Socw

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2016
Posts
1,385
Reaction score
2,850
"wewe ni mtoto wa ngapi katika familia yenu?" msaada tafadhali
 
Nadhani kingereza wanatumia

First born
Second born
Third born ........Nk

Hivyo jaribu tu kutengeneza sentensi kwa maneno hayo mimi mpaka nilewe ndio naweza kujaribu ,na kibaya pombe niameacha hivyo sina msaada kwako
 
KWANZA HIYO SENTESI TU SI KISWAHILI SANA NDIO MAANA HATA KWA KIIENGELEZA HAITALETA SI UNAONA HAPA YOU ARE CHILD OF HOW MANY IN OUR FAMILY
 
Unatakiwa useme MIE NI MTOTO WA NGAPI KATIKA UZAO WAKO hapa kwa kiingereza inaweza andikwa na mzungu akakuelewa lakini siyo hiyo sentesi yako ambayo haijakamilika kwa kiswahili sanifu
 
Back
Top Bottom