Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Habari wanaJF, Ninaomba uzi huu uwe maalumu kabisa kwa ajili ya kuvielewa kwa majina vifaa vya kielectronic na vya teknologia ya habari na mawasiliano (IT) na terminology zake. Unacho takiwa...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
THE ADVANTAGES OF SPEAKING ENGLISH Here are some of advantages of Speaking English….you can add more advantages that you may remember, the fact is there are countless number of advantages…...
2 Reactions
0 Replies
911 Views
NDEGE WA THAMANI. 1)Uruke upeperuke,kama ndege wa angani. Usinache niteseke,nikiumia moyoni. Na fulani anicheke,nizomewe mtaani. Ndege wangu wa thamani,sitokutupa njiani. 2)na akili...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni mtu asiye na hisia za kike Rafiki uliyeshibana naye hutumiwa sana,na wanawake
0 Reactions
0 Replies
9K Views
Habarino. Eee, - Hivyo yani. Unaambiwa: Papa shurti anuke, Aso' nuka, - Si Papa huyo. Harufu 'HALISI' kali, Lakini 'ISO' KERA'. Naam, ndio Sifa muhimu, Yaani ndio Ladha'ye Papa. Baadae...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
DEREVA KIPOFU. Nina maneno machache, wingi wa vitendawili, Twende sote sikuache, tuliza yako akili, Kama usiku na uche, ulione jambo hili, Kibogoyo ala fupa, mwenye meno lamshinda. Katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ardhi iliotesha mti,mti wa mauwa na matunda naam mti wa mauwa na matunda wenye asali na achali na ndege waasiliyo waliootesha vichali waishio wao na watoto wao. ukijani umelemetao wapendeza kwa...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba tafsiri ya huuu msemo kwa kiswahiliii (Insanity is hereditary. You get it from your kids)
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba msaada wenu wa kujua maana na tofauti ya maneno Hekima na Busara pia ni wakati gani yafaa kutumika.
0 Reactions
14 Replies
41K Views
Habari zenu wakuu; Kama mulivyotushauri kufundisha KIFARANSA kwa njia ya Yutube, huu ni mwanzo wa mfululizo wa vipindi vitakavyokufundisha kuzungumza kwa ufasaha ukiwa nyumbani kwako. Tafadhali...
4 Reactions
30 Replies
5K Views
naombeni msaada juu ya fasili ya lugha ya mtaalamu Hammerly
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hichi ki sentensi kime nipa tabu sana, em wataalamu wa ngeli,yai arimaarufu English tuwekeni saw a hapa. Ukitaka kusema kwa kiingereza hii sentensi uta isemaje? " Baba mimi ni mtoto wa ngapi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
MAONO YA JANGWANI. 1. Kwa macho haya mawili, Nilishuhudia, Vinginevyo yapofuke. 2. Kwa masikio mawili, Niliyasikia, Kinyumeche yazibike. 3. Malaika elfu mbili, Menisimamia, Kwa vishindo na makeke...
0 Reactions
1 Replies
870 Views
[emoji310] [emoji310]
0 Reactions
0 Replies
2K Views
MAONO YA JANGWANI. 1. Kwa macho haya mawili, Nilishuhudia, Vinginevyo yapofuke. 2. Kwa masikio mawili, Niliyasikia, Kinyumeche yazibike. 3. Malaika elfu mbili, Menisimamia, Kwa vishindo na...
0 Reactions
0 Replies
802 Views
Nimejikuta nikijiuliza kwa nini waganda amekuwa wagumu sana kukikubali kiswahili? Ningetegemea wawe mbele zaidi hasa ukizingatia wamekuwemo Kwenye uanzilishi wa jumuia yetu na Vilevile kiswahili...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Shida yangu kubwa ni neno "was" ukitaka kulitumia na verb unatumia verb gan Kat ya irregular verb, past au partipaticiple mfano juz boss aliniambia I was not seen you in an office hpo ilo neno...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ingia HAPA
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Kiswahili au lugha yeyote kila neno lina mbadala au neno sawa na maana (neno)la mwanzo. Mfano: amekufa=ameaga dunia mrembo=ua emu na wewe andika maneno unayoyafahamu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Lipi ni sahihi zaidi katika matumizi ya lugha ya Kiswahili
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Back
Top Bottom