Naomba Tafsiri: Insanity is hereditary. You get it from your kids

Mwache77

Senior Member
Jun 3, 2011
174
57
Naomba tafsiri ya huuu msemo kwa kiswahiliii (Insanity is hereditary. You get it from your kids)
 
Naomba tafsiri ya huuu msemo kwa kiswahiliii (Insanity is hereditary. You get it from your kids)

Sentensi yote haina mantiki hata hivyo. Lakini kama ilivyo: "Kichaa ni cha kurithi. Unakipata toka kwa watoto wako."

ingetakiwa iwe hivi! "Insanity is hereditary. You get it from your parents." Yaani: "Kichaa ni cha kurithi. Unakipata toka kwa wazazi wako."

insanity naweza kuwa pia lunacy, madness, ama mental illness ambayo inaweza kutafsiriwa kama wehu, ugonjwa wa akili, wenda wazimu ama ukichaa au kichaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom