Nikisoma baadhi ya maandishi katika jengo hili ninaona tunachanganya Kiswahili na Kiingereza.
Bila ya nia ya kukebehi bali kwa heshima zote, naomba tujadili ni zipi katika sababu hizi...
Nimejaribu kutafuta Uzi humu ndani unaoweza kunipa picha kwa ufasaha tofauti ya MAONO na MITAZAMO au kama mnaweza nisaidia kitaalamu kabisa hapa hapa nitajifunza kitu.....
The Charmie
Kumekuwa Na mijadala mudamrefu kuwa Ni lugha gani sahihi kutumika kufundishia, inaonekana lugha hizi zinatoa ujumbe/maana tofauti juu ya suala moja. Je?, Kama tunapata maudhui tofauti kwenye suala...
Karibuni wadau tufunzane jinsi ya kuyatamka maneno ya kiingereza.
Mfano maneno haya hapa.
1.Bouquet
2.Crisps
3.Awe
4.Ewe
5.Physique
6.Gadget
7.Pneumonia
8.Croissant
9.Pneumatic
10.Judt
11.Queue...
MWANZO WA NGOMA
1)Kweli hii ngoma ngumu,kuipiga na kucheza.
Kama unakunywa sumu,chunga watakulegeza.
Ipige hadi idumu,ukiacha watubeza.
Huu ndo mwanzo wa ngoma,ama kiki watafuta ?
2)wengi...
WETU MGAMBO.
1)Siwezi mi kuamini,kama ni wao wenyewe.
Imetoka ofisini,wale waje watendewe.
Ahadi zi mazishini,laona jicho la mwewe.
Hawa ndo wetu mgambo,na ndo kazi waliotumwa.
2)Wayatenda ya...
Naomba wataalamu wa Lugha mnisaidiea kuhusu suala hili.
Mimi nasikitishwa sana kuona vyombo vya Habari vya kielektoniki vikiita majina ya kiingereza baadhi ya Vipindi vyao wakati vipindi hivyo...
Jana nilikuwa naangalia Kipindi cha malumbano ya hoja kinachorushwa na kituo kimoja maarufu cha TV nchini ambacho kwa sasa kinajiita Super Brand Afrika ya Mashariki na kati.Katika malumbano yale...
TABII STAKIRI
Chunga upulikayo,
Ya walimwengu ni zakayo,
Punga ya hofu ni uikibaliyo,
Macho ya ubongo ni zaidi ya uonayo.
Ya farisi ya farisi,
Ya bahaluli tuyafilisi,
Fakiri tumuabiri vizuri...
I was perusing a local magazine here in USA then met this phrase ' characters of questionable reputation'
Could any one here let me know what does it mean as its strange
With Regards
Wanaforum habari zenu, nahitaji msaada kupata vitabu kadhaa vya Kiswahili, ni riwaya na tamthilia hasa, nimehamia ughaibuni,(Linkoping, Sweden) karibu mwezi sasa na nahitajika kujifunza Kiswahili...
USITUFUNGE MDOMO.
1)Mikono ina sauti,kali kuliko ya radi.
Ulipuka kwa kishindo,inapopanda midadi.
Acha mdomo useme,hata kama siyo jadi.
Usitufunge midomo,mikono itaongea.
2)Busara hata...