Naomba kujua maana ya maneno yafuatayo

Mugabe one

JF-Expert Member
Nov 15, 2016
2,327
1,684
Mfano, Mbowe akamatwa na
1.misokoto 500
2.kete 500
3.puli 5000
Naomba mnisaidie nipate ufafanuzi wa maneno hayo.
 
1. Misokoto ni aina ya sigara iliyotengezwa kienyeji, haikutengezewa kiwandani. Misokoto inaweza kuwa ya bange au tumbaku ya kawaida / goso.

2. Kete ni kifurushi kidogo cha tumbaku au bange ambacho kimeandaliwa / chambuliwa kwa ajili ya kuuzwa na kutengezwa msokoto. Mara nyingi kinauzwa kati ya 200 mpaka 1000 inategemea ni Mkoa gani.

3. Puli na kete humaanisha kitu kimoja. Yaani ni kama lahaja fulani kwa watumiaji, yaani watumiaji wa eneo fulani wanaweza ita kete wakati watumiaji wa eneo jingine wakaita puli kumanisha kitu kimoja.
 
tunakuhitaji central mkuu...
 
Mbowe in kiongozi dikteta ambaye hapendi maamuzi yake yapingwe,kkiufupi waweza sema ni sultan,wengine watanisahihisha kama ntakuwa nimekosea mahala au wataongezea penye mapungufu
 
Back
Top Bottom