Ni ipi asili ya ushairi wa Kiswahili

ananijua

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
241
97
Hakika hali wa shani,kila jambo lina asili yake.Sababu kila jambo lina asili yake,bila shaka ushairi wa kiswahili una asili yake.Hapa nina maswali yaliyomili katika kichwa cha habari hapo juu.

1.Ni nani wa mwanzo katika ushairi wa kiswahili ?

2.Kazi ipi ya mwanzo katika ushairi wa kiswahili ?

3.Je ushairi wa kiswahili una wenyewe au la ?
 
Back
Top Bottom