Kiswahili kinateketea

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
264
378
Kadri siku zinavyoenda ndivyo Lugha yetu ya Kiswahili inavyozidi kufa na kupoteza msamiati wake fasaha kuna baadhi ya maneno na herufi zinaharibu Kiswahili mfano

Neno kama :-
SHEMEJI sasa limegeuka na kuwa SHEMELA

VIPI- VEPEE
Badala ya kutumia herufi S inatumika X mfano XAFI badala ya SAFI
Penye herufi L panawekwa R

TUJIREJEBISHE JAMANI toa misamiati mingine ya Kiswahili inayoharibiwa tuione hapa
 
tuanze na wewe kwenye TUJIREJEBISHE badala ya TUJIREKEBISHE. Je ni mapozi,bahati mbaya au dharau?
 
Back
Top Bottom