Changamoto Katika Lugha

busy bees

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
2,249
1,332
Which is the correct sentence among the following sentences written below :-

If I were you, I could build a huge house rather than buying a beautiful salon car

If I was you, I could build a huge house rather than buying a beautiful saloon car

If I were you, I could build a huge house rather than buying a beautiful saloon car

Note: Itapendeza sana na itakuwa msaada kwa wanaojifunza endapo majibu yakiambatana na ufafanuzi japo kidogo wa KISARUFI
 
Grammatically the third sentence is correct, sio mtaalamu wa lugha lkn ya tatu iko imefuata misingi yote ya conditional sentence, nakubali kukosolewa
 
Ngoja tuone watalaamu wa lugha ya Malkia wakitililika.

ila wale wenzangu na Mimi mabingwa wa kukosoa makosa bila kusema usahihi ilitakiwa iwe vipi hawawezi kutia neno hapa.
 
Hakuna changamoto hapo.
Kama ulisomeshwa vizuri secondary, sentence namba tatu ni correct.
Namba moja tatizo lipo kwenye neno salon badala ya saloon.
 
Which is the correct sentence among the following sentences written below :-

If I were you, I could build a huge house rather than buying a beautiful salon car

If I was you, I could build a huge house rather than buying a beautiful saloon car

If I were you, I could build a huge house rather than buying a beautiful saloon car

Note: Itapendeza sana na itakuwa msaada kwa wanaojifunza endapo majibu yakiambatana na ufafanuzi japo kidogo wa KISARUFI

Huwezi kusema "If I was you", katika kuchukua nafasi ya mtu mwingine, unasema "If I were you:.

Ila sasa, tofauti ya sentensi ya kwanza na ya tatu ni nini, naona kama ziko sawa, labda kama salon sio typo error.

Na pia, sentensi yako haiko sawa gramatically. Natumaini sio mwalimu wa kingereza katunga mtihani kwa swali kama hili. Unachotaka kusema hapa ni kutoa kitu mbadala cha kufanya, lakini unaposema "If I were you I could" unatoa uwezo. Huwezi kuweka uwezo katika context ya chaguo la kujenga au kununua gari. Na pia rather, si vizuri sana iende na present continuous - rather than buying.... Rather than buying ni direct Kiswahili translation (kuliko kununua). Na pia kama unatoa alternative, sio vema kusifia kitu ambacho usingefanya, inakuwa contradiction - a beautiful

Labda ingekuwa sahihi zaidi kusema;

If I were you, I would build a huge house rather than buy a saloon car

Au ungeweza kusema

Had I been you, I would have built a huge house rather than buy a saloon car.

Nashukuru kwa ufafanuzi wako, bado naendelea kujifunza
 
Ngoja tuone watalaamu wa lugha ya Malkia wakitililika.

ila wale wenzangu na Mimi mabingwa wa kukosoa makosa bila kusema usahihi ilitakiwa iwe vipi hawawezi kutia neno hapa.
Kweli mkuu ukikosoa ni vyema ukaonesha kosa kwa mujibu wa SARUFI ili tuendelee kuelimika
 
Hakuna changamoto hapo.
Kama ulisomeshwa vizuri secondary, sentence namba tatu ni correct.
Namba moja tatizo lipo kwenye neno salon badala ya saloon.
Na vipi kuhusu namba 2 mkuu, tatizo lake ni lipi?
 
Which is the correct sentence among the following sentences written below :-

If I were you, I could build a huge house rather than buying a beautiful salon car

If I was you, I could build a huge house rather than buying a beautiful saloon car

If I were you, I could build a huge house rather than buying a beautiful saloon car

Note: Itapendeza sana na itakuwa msaada kwa wanaojifunza endapo majibu yakiambatana na ufafanuzi japo kidogo wa KISARUFI
Zote zinamakosa grammatically.
Ukiitaji maelekezo niulize makosa yapo wapi ktk kila sentence.
 
Both sentence two and three are grammatically correct. Because are all Mood ; sentence two describes indicative mood and sentence three is a subjunctive mood. However, sentence one is very grammatical but semantically wrong.
 
Hakuna changamoto hapo.
Kama ulisomeshwa vizuri secondary, sentence namba tatu ni correct.
Namba moja tatizo lipo kwenye neno salon badala ya saloon.
Salon.... Sehemu unaweza pata huduma ya nywele

Saloon..... Pub or bar
 
Na salon inaweza kua hair cut or a beauty salon

But beautiful salon..... I don't think so

Nakubali kukosolewa ila kwa mimi hamna sentensi iliyo sahihi
 
Thanks for your contribution .... twaendelea kujifunza ..... by the way kama ungeeleza kwa nini wadhani hakuna sentence sahihi ingekuwa msaada kwetu pia
 
1. Beautiful salon car*

2.if I was you.* & beautiful saloon car

3.beautiful saloon car.

I think matumizi ya hayo maneno katika kila sentensi kwangu yameondoa maana ya sentensi.

......nakubali kukosolewa.....
 
Saloon car ni sahihi ( small car with a boot ( trunk ) ... rejea maana niloiongeza kwenye post yako hapo juu ....

Saloon ina maana nyingi hata zaidi ya hizo zilotajwa hapo juu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom