pozzy
Member
- Jan 20, 2017
- 78
- 26
Maneno mengi huwa na maana tofauti kadli mazingira. Kwa hali hiyo mimi naona maana iliyotolewa kama " ni sauti za nasibu zinazotumika katika mawasiliano baina ya jamii fulani sio sahihi kwa sababu unaweza kuwa sio wa jamii hyo lakini ukaelewa vinginevyo hivyo bado ninauliza lugha ni nini?