TangataUnyakeWasu
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,268
- 1,611
Wakuu naomba kujua tafsiri na maana ya GOVERNMENT GAZETTE au OFFICIAL GAZETTE. Na pia **** Kuna mfano wake mtu anayo nakala yake atupie hapa.
Asante
Asante
Wakuu naomba kujua tafsiri na maana ya GOVERNMENT GAZETTE au OFFICIAL GAZETTE. Na pia **** Kuna mfano wake mtu anayo nakala yake atupie hapa.
Asante
Nadhani la msingi ni kuwa lina legal elements! Ni ushahidi wa kimahakama kuwa jambo fulani lilifanywa na serikali!NI gazeti kama gazeti lingine lolote tofauti ni kwamba, Government Gazette linatumiwa na serikali kutoa habari mbalimbali zinazoihusu serikali! Ninaposema mambo yanayoihusu serikali haina maana serikali kwa serikali pekee bali hata serikali na watu/taasisi binafsi!!!
Ni ngumu kusema ni habari zipi manake hata teuzi mbalimbali zinazofanywa huwa utakuta habari zake humo! Hata wewe leo hii ukiteuliwa kuwa Katibu Mkuu; next issue ya government gazette kutakuwa na jina lako! Endapo leo Rais anasaini sheria xyz iliypitishwa na bunge; hiyo habari itapatikana kwenye government gazette!!
Mfano wake ingia tu kwenye tovuti ya serikali... utayakuta huko yamejaa kibao!
Mkuu nashukuru sanaaa. Binafsi nilikuwa sijawahi ona hata nakala yake inafananajeee.Gazeti la Serikali!