kivipi yaniUnapenda Kula jojo
Yan mkuu haya maneno naona kama ya udhalilishajiBila shaka ulishawahi kumuona mtoto anavyokuwa anaongea na mambo yake anayoyafanya. Mtu akikwambia una mambo ya kitoto anamaanisha akili yake haijakomaa kuwezi kufanya majambo yanayofanywa na watu wazima (Japo unaweza kuwa mtu mzima).
To make it worse amelinganisha umbo lako dogo na akili za kitoto, ni kama double matusi.
Hufanyi mambo ambayo ni mhimu na unaongea vitu ambavyo sio vya msingi!!!Naomba kujua maana ya neno una mambo ya kitoto na unaongea kama mtoto endapo mtu anakwambia maneno kama hayo anamaanisha nini?
Yan mkuu haya maneno naona kama ya udhalilishaji