Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,205
- 4,403
CHOZI LA MADHABAHUNI.
1)Inataka ujasiri.
Kweli kufichua siri.
Watakiwa uhodari.
Uvae ujemedari.
Tena ufanye kwa hari.
Kuitangaza habari.
Huo ni utangulizi.
Chozi la madhabahuni.
Siyo siri kuna jambo.
2)linaogopwa kusemwa.
Masemaji asakamwa.
Na chini anasukumwa.
Shamba bovu limelimwa.
Tunda bichi limechumwa
Kwa uchungu alilia.
Chozi la madhabahuni.
Siyo siri kuna jambo.
3)kusema uliamua.
Haya ungetegemea.
Nyuma usingerejea.
Yote yasijekuliza.
Chozi la madhabahuni.
Siyo siri kuna jambo.
4)vita hivi ni vikali.
Kimya chao ni cha mbali.
Ni kweli unakijua.
Chozi la madhabahuni.
Siyo siri kuna jambo.
5)Endelea kupambana.
Hata kama waungana.
Chozi la madhabahuni.
Siyo siri kuna jambo.
Shairi=CHOZI LA MADHABAHUNI.
Mtunzi=Idd Ninga wa Tengeru Arusha.
+255624010160
iddyallyninga@gmail.com.
1)Inataka ujasiri.
Kweli kufichua siri.
Watakiwa uhodari.
Uvae ujemedari.
Tena ufanye kwa hari.
Kuitangaza habari.
Huo ni utangulizi.
Chozi la madhabahuni.
Siyo siri kuna jambo.
2)linaogopwa kusemwa.
Masemaji asakamwa.
Na chini anasukumwa.
Shamba bovu limelimwa.
Tunda bichi limechumwa
Kwa uchungu alilia.
Chozi la madhabahuni.
Siyo siri kuna jambo.
3)kusema uliamua.
Haya ungetegemea.
Nyuma usingerejea.
Yote yasijekuliza.
Chozi la madhabahuni.
Siyo siri kuna jambo.
4)vita hivi ni vikali.
Kimya chao ni cha mbali.
Ni kweli unakijua.
Chozi la madhabahuni.
Siyo siri kuna jambo.
5)Endelea kupambana.
Hata kama waungana.
Chozi la madhabahuni.
Siyo siri kuna jambo.
Shairi=CHOZI LA MADHABAHUNI.
Mtunzi=Idd Ninga wa Tengeru Arusha.
+255624010160
iddyallyninga@gmail.com.