Bornventure
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 529
- 523
Kwenu wajuvi wenye uelewa wa lugha na mila za kitanzania hebu tafadhari nijuzeni kuna maana gani mtu akisema KINYAGO TUKICHONGE WENYEWE NA KUKIWEKA SEBULENI ALAFU KITUTISHE??
Sawa na kusema "kuku wakwako mwenyewe manati ya nini?" Mfano: tume ya uchaguzi kaichaguwa mwenyewe raisi, anaogopaje kushindwa?
mh Msukuma kajionelea kama noma na iwe noma bana!Kwenu wajuvi wenye uelewa wa lugha na mila za kitanzania hebu tafadhari nijuzeni kuna maana gani mtu akisema KINYAGO TUKICHONGE WENYEWE NA KUKIWEKA SEBULENI ALAFU KITUTISHE??