Linaitwa "tusi" au kwa kiswahili rahisi jeneiza!Habari
jamani tunabishana hapa
Wakristo cha kubebea maiti wanaita Jeneza
je waislamu kile wanachobebea maiti kutoka msikitini kupeleka makaburini wanaitaje?
Habari
jamani tunabishana hapa
Wakristo cha kubebea maiti wanaita Jeneza
je waislamu kile wanachobebea maiti kutoka msikitini kupeleka makaburini wanaitaje?
kuna mmoja anasema jeneza mwingine gari la mwishoGari la mwisho
Kinaitwa jeneza
Au Tusi
Linaitwa "tusi" au kwa kiswahili rahisi jeneiza!
Kitu kilichotengenezwa kwa ajili ya kubebea maiti kwaajili ya kwenda kuizika huitwa jeneza, dini gani wanakitumia, madini gani yametumika kukitengeneza hicho chombo, material gani yametumika n.k hivi vyote haviathiri maana ya neno JENEZA.Zaidi ya hapo maneno yatatofautiana kwakuwa lugha inakua na jiografia ya watumiaji
Samahani sioni ugumu. Ni kawaida kuwa na majina tofauti kwa kitu kilekile. Tazama gari-motokaa, nyumba-jengo, nyanya-bibi..... Ni utajiri wa lugha, si tatizo.kuna mmoja anasema jeneza mwingine gari la mwisho
basi tabu tupu