Kifyonzeo linatokana ña neno Fyonza wengine husema fyonya , kwa hiyo hapo anaamanisha kitu mbadala kitumikacho kufyonzaNadhani ni mrija wa kunywia mfano juice maana flash ni kinyonyeo au kinyonyo
"Cjui teacher anaongea kilugha ....? labda anaongea na simu ..." [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 484081Wataalamu wa lugha ya Kiswahili njoon huku mtujuze kuhusu hiyo ISTILAHI "KIFYONZEO" maana mie nimebaki kizani [emoji1] [emoji1] [emoji28] [emoji28] [emoji3] [emoji3]
Flash ni kinyonyeo[emoji23] [emoji23]View attachment 484081Wataalamu wa lugha ya Kiswahili njoon huku mtujuze kuhusu hiyo ISTILAHI "KIFYONZEO" maana mie nimebaki kizani [emoji1] [emoji1] [emoji28] [emoji28] [emoji3] [emoji3]
Kifyonzeo imetokana na kitendo fyonza.. Ikiwa na maana ya kuchukua kitu (kimiminika) kwa kutumia kifaa flani mithili ya mrija.[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu hiyo "kifyonzeo" ndo nn? [emoji1] [emoji1]