Wale mnaofahamu kinyiha msaada tafadhali

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
69,884
183,945
habari wadau,
Natumaini humu ndani tupo watu wa kabila tofauti.Ningependa mtu anisaidie kuntafsiria hii lugha ya kinyiha ikibidi nijifunze kidogo. Nitatoa baadhi ya maneno ama sentensi hapa chini:

1.Unnee nakutogwa vinonu
2.Wee kuchii ulo lakn
3.Ha izangulole umoyo umakwend imbio
4.Unne nakutogwa
5.Wee mwanitu..ndo vene nakupozya
6.Uwiii kutiuli lakin
7.Umaninte mwanitu weee iyali yne kas inonu
8.Hahahaha. . kuchi
9.Nakosi iyam vne nikule mwee nkubalie mwanitu
10.Unkubalie we umwana wa kuminu
11.Nikupozye mwanitu....isikuchi twazile kumaali nikupozyee ichindu
12.Npypzee..........umwana wa kukaya
13.Uwewe sasa ndo umbozye
14.Unene nakutogwa vinonu umanite
15.Nmanite vnonu
16.Natela uni
17.Isiku tuwazile kumaali ungapozye ichindu
18.Pa mulungu tuwalae kusinza
19.Mbangile mwanitu
20.Nachimwi
21.Unne nilikwali ad uzua
22.Kaliu tulikwali
 
Naomba nisaidie kutafsiri na haya wakuu:

1.Wasekaa
2.Pachiweluka iza navwamba nikulole maana iyali kasi nzuri
3.kuchi iyali kasi nonu
4.vine nakutongwa
5. Mwanitu
Si kinyiha hiki ni kinyamwanga
 
Me najua kinyiha,kiswahili na najarbu kizungu,na naweza kutafsri kupita humo,hicho ulichokiandika skijui....
Dah mbona kazi, kuna jamaa alietangulia mwanzoa alintafsiria ila naona hajatokea awamu hii. Nina shida sana ya kujua hicho kilichoandikwa hapo juu ili nikamilishe report kichwani mwangu.
 
1.Vinginevyo neno uliloandika waseka lisomeke waseha meaning umecheka.

2.na hili la pachiweluka...lisomeke pacheruka meaning jumamosi...iza navwamba hiki sio kinyiha...nikulole isomeke inkulole meaning nikuone..

Nahisi hiko ni kinyamwanga sio kinyiha japo kuna ukarbu wa baadhi ya maneno kufanana...bahati mbaya mim sjui kinyamwanga

Hayo yaliyofuata siokinyiha.
 
Naomba nisaidie kutafsiri na haya wakuu:

1.Unnee nakutogwa vinonu
2.Wee kuchii ulo lakn
3.Ha izangulole umoyo umakwend imbio
4.Unne nakutogwa
5.Wee mwanitu..ndo vene nakupozya
6.Uwiii kutiuli lakin
7.Umaninte mwanitu weee iyali yne kas inonu
8.Hahahaha. . kuchi
9.Nakosi iyam vne nikule mwee nkubalie mwanitu
10.Unkubalie we umwana wa kuminu
11.Nikupozye mwanitu....isikuchi twazile kumaali nikupozyee ichindu
12.Npypzee..........umwana wa kukaya
13.Uwewe sasa ndo umbozye
14.Unene nakutogwa vinonu umanite
15.Nmanite vnonu
16.Natela uni
17.Isiku tuwazile kumaali ungapozye ichindu
18.Pa mulungu tuwalae kusinza
19.Mbangile mwanitu
20.Nachimwi
21.Unne nilikwali ad uzua
22.Kaliu tulikwali
Hiki pia sio kinyiha kama sio kimalila basi kisafwa.....kinyiha sio kigumu...
 
1.Vinginevyo neno uliloandika waseka lisomeke waseha meaning umecheka.

2.na hili la pachiweluka...lisomeke pacheruka meaning jumamosi...iza navwamba hiki sio kinyiha...nikulole isomeke inkulole meaning nikuone..

Nahisi hiko ni kinyamwanga sio kinyiha japo kuna ukarbu wa baadhi ya maneno kufanana...bahati mbaya mim sjui kinyamwanga

Hayo yaliyofuata siokinyiha.
Huyo mtu ni wa kutoka kijiji cha mkwajuni songwe. Mbozi huko.
 
Back
Top Bottom