Mada maalum: Maneno/Misamiati adhimu ya Kiswahili-Kingereza

Dahafrazeril

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
1,500
2,058
Habari wana-Jamii forums! Karibuni tujifunze kwa pamoja kama mada inavyojieleza.

Tarakilishi=Computer.
Mtandao=Network.
Mdahalisi=Internet.
Barua pepe=E-Mail.
Tovuti=Website.
Peruzi=To surf.
Nukushi=Fax.
D.N.A=Shanga za urithi.
Uhandisi wa maumbile=Genetic Engineering.
Bioanuai=Biodiversity.
Kupachiza=Cloning.
Seli asili=Stem cells.
Tajiriba=Experience.
Kikokotozi=Calculator.
Kadi sakima=Memory card.
Kiweo=Windows.
Kadiwia/Mkamimo=Sim card.
Kioto motela=ATM.

Karibuni sote.
 
Habari wana-Jamii forums! Karibuni tujifunze kwa pamoja kama mada inavyojieleza.

Tarakilishi=Computer.
Mtandao=Network.
Mdahalisi=Internet.
Barua pepe=E-Mail.
Tovuti=Website.
Kubofya=To surf.
Kinakilishi=Fax.
D.N.A=Shanga za urithi.
Uhandisi wa maumbile=Genetic Engineering.
Bioanuai=Biodiversity.
Kupachiza=Cloning.
Seli asili=Stem cells.

Karibuni sote.
Fax = Nukushi au Nukulishi na sio Nakilishi
 
Habari wana-Jamii forums! Karibuni tujifunze kwa pamoja kama mada inavyojieleza.

Tarakilishi=Computer.
Mtandao=Network.
Mdahalisi=Internet.
Barua pepe=E-Mail.
Tovuti=Website.
Kubofya=To surf.
Kinakilishi=Fax.
D.N.A=Shanga za urithi.
Uhandisi wa maumbile=Genetic Engineering.
Bioanuai=Biodiversity.
Kupachiza=Cloning.
Seli asili=Stem cells.

Karibuni sote.
Peruzi = To Surf

Click = Bofya

Rekebisha haraka

Safi sanaa kwa mustsksbsli wa lugha yetu,tuwe kama wachina! kuipa kipaumbele
 
Back
Top Bottom