Kufikira kuna lugha maalum?

ALEX_ANDER

JF-Expert Member
Jul 8, 2014
570
814
Kwa wale ambao mnaongea lugha zaidi ya moja , hivi mawazo au fikra huwa yana lugha?
Nakumbuka nilivyokuwa secondary mwalimu wangu wa kiingereza alikuwa anaseama ili kuepuka kuongea broken "think in English, then speak English"...
 
Ingekuwa sasa huyo mwalimu hafai kwani anarudisha nyuma juhudi za rais wetu za kukuza kiswahili nje ya nchi
 
Kama sio lugha yako huwez,,ila nina jamaa wangu sweden kaishi miaka 20 kule na hapa kaishi miaka 20 lakin huwa anawaza kiswahili
 
Kwa wale ambao mnaongea lugha zaidi ya moja , hivi mawazo au fikra huwa yana lugha?
Nakumbuka nilivyokuwa secondary mwalimu wangu wa kiingereza alikuwa anaseama ili kuepuka kuongea broken "think in English, then speak English"...
Very possible.
Bashite was thinking in Swahili then trying to speak in English.
 
Back
Top Bottom