Matukutuku
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 269
- 127
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyokieleza! Naona sasa imefikia muda sasa wa kujifunza lugha yangu ya asili, msaada please kwa anayejua wapi labda kuna sehem wanafundisha Kichagga at least kile cha basic au ni namma gani nifanye angalau nikijue jue kidogo!
Pia kama kuna mwenye kamusi ya Kichagga - Kiswahili tafadhali asaidie hapa!
Nawasilisha
Pia kama kuna mwenye kamusi ya Kichagga - Kiswahili tafadhali asaidie hapa!
Nawasilisha