Kumbe kiswahili chaweza kuwa kigumu hivi?

Baba Heri

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
1,537
2,294
Hii ni app ya biblia kutoka playstore, hapo nadhani walikuwa wanamaanisha yale mambo ya "please rate this app"
2577f81571133b8d68f034d3f8da612f.jpg


Hapa nadhani wanamaanisha "press back to exit"
8993039a58eaf1c1371d66eb4f6b3603.jpg
 
somo la kiswahili lingefutwa tu, watu tujiongelee tunavyojua., maana siku hizi the text goes digital, hata google inajitafsiri yenyewe kiajabu ajabu lakini inaeleweka
 
Back
Top Bottom