Tafsiri ya: Foresight; innovation na catalyst

Moony

JF-Expert Member
Apr 16, 2011
1,599
435
Naomba kwa wataalamu ya lugha ya kiswahili na kiingereza wanisaidie kunipa tafsiri ya kina ya maneno yafuatayo:

1. FORESIGHT
2. INNOVATION
3.CATALYST


Nawakilisha
 
Naomba kwa wataalamu ya lugha ya kiswahili na kiingereza wanisaidie kunipa tafsiri ya kina ya maneno yafuatayo:

1. FORESIGHT
2. INNOVATION
3.CATALYST


Nawakilisha

1. FORESIGHT = Mbelembele (Mbele kwa mbele)
2. INNOVATION = Uvumbuzi
3.CATALYST = Kichocheo


Nawakilisha = represent
 
Prof Mhongo kaelezea kidogo forecast yake ya mega trends ya miaka mingapi vile? alfu tatu au?
 
  1. Innovation-Ubunifu wenye tija
  2. Invention-uvumbuzi aghalabu usio na tija japo waweza kuwa na tija baadae
 
upload_2017-6-20_10-48-45.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom