AmongIn your family rank in which number am I amoung your children
WanaJF naomba mnisaidie, mfano sentensi ifuatayo nitaibadilije iwe ktk lugha ya kiingereza?
Baba! Mimi ni mtoto wako WA ngapi?
Ni hilo tu, asanteni.
Naomba kuwasilisha.
Umejitahidi sana[emoji122]In your family rank in which number am I amoung your children
Leo hii Faiza Fox mnasema ni mtaalam wa lugha? Si mnasema wa madrasa hawajasoma?Faiza fox ndiye mtaalamu wa lugha muite