Msaada lugha ya kiarabu na Kingereza

Beka Mpole

JF-Expert Member
Feb 4, 2017
490
374
Wadau mi nipo Dar nafuta mtu au mahala ambapo naweza kufundishwa lugha za kiarabu na kingereza.
Hivyo anayeweza kunisaidia ktk hilo naomba msaada wake.
Ikiwezekana tuwasiliane.
+255 716 453 548
 
Kiingereza jongea pale ilipo British Council. Kiarabu kwa Posta muone imam wa Msikiti wa Ngazija au Maa'mur na mueleze nia yako. In shaa Allaah atakutafutia mwalimu
Msikiti wa ngazija upo maeneo gani ndugu.
 
Arabic na English together mchek mshikaj wangu yeye anajua lugha kama tano ikiwemo kiarab na hiyo Ngeli
 
Mcheki Classy ndo mtaalam wa kingereza ....hukishindwa kuongea nifuate nilirudishe ghalama zako.....Namba yake ni 0713345766
 
Back
Top Bottom