Mapendekezo:Bashite liwe neno jipya kwenye lugha

Kwani

JF-Expert Member
Jan 12, 2016
459
1,000
kutokana na jina hili kuwa maarufu TANZANIA,ni jepesi kulitamka hata watoto wadogo wamelishika haraka na kulitamka kama BASITE licha ya hivyo ni neno lenye tafsida linalobeba maana nyingi mfano:ki.laza,mpumbavu,mjinga,mpuuzi haya maneno ujumla wao kuwa bashite itakuwa ni jambo zuri.

Pia jambo hili litakuwa zuri kwani neno hili chimbuko lake liko hai hivyo wanafunzi watajifunza kwa mafano hai.

RAI:Baraza la kiswahili Tanzania(BAKITA) chondechonde naomba mfikrie hili jambo kwa umakini wala halina hata chembe ya siasa ndani yake
Pia jambo hili litapunguza ukali wa maneno kwa viongozi wetu

mfano:kiongozi anapotaka kusema "wanafunzi wanaosoma UDOM special diploma wengi wao ni vi.laza"
hii itapendeza kiongozi akisema"wanafunzi wanaosoma special diploma UDOM wengi wa ni kinaBASHITE"
 
cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
25,201
2,000
Na maana yake ni nini?
Neno limeletwa na mzungu?
Tangu lini?
Kwa nini hauwaombi neno hilo lisiwe jina la mtaa?
 
Isanga family

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
8,116
2,000
Linaeleweka miaka ya nyuma lilitumika kihiyo enzi za analogy mfumo wa digital na kizazi kipya hilo Bashite linaeleweka vizuri tuu bila maelezo mengi...
 
Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
6,231
2,000
Ushauri usio na mashiko. Ushauri kuntu.
Chuki zitokanazo na vita ya madawa ya kulevya, kwa kibwagizo cha kutumia "gia" ya aina yoyote ni chukizo kwa jamii isiyopenda maisha ya hovyo.
Mtu yeyote anayejitambua alishaelewa kitambo na kuacha hima kumsakama huyo huyo baba, kwa hiyo usirudishe nyuma ajenda "chukizo".
Drug Lords na nguvu zao zote za kipesa kwa kusaidiana na mheshimiwa shetani, wameshindwa kumuondoa Makonda kwa kuwa yupo katika kupigania jambo la haki.
Hivi hauwezi kujiuliza na baadaye kutathimini ni kwanini aliyemteua kamuacha katika nafasi hiyo hadi leo na kumpandisha cheo "Police commander" aliyeanzisha naye hiyo kampeni iliyowaumbua? Pamoja na ngebe zenu zote zilizosambazwa hadi makanisani, haujiulizi na kupata jibu, kweli?
Tusiangalie maisha binafsi ya mtu, tuangalie alichokiasisi kina tija gani kwetu kama jamii?
Chuki za kirushwarushwa, kifisadifisadi kwa ajili ya kujenga chuki za bila sababu ktk jamii, ifike mahali zipitwe na wakati. Hata kama hatua zilizochukuliwa kutokana na kampeni yake ya kutokomeza biashara ya "ngada" zilikuumiza, je zilikuumiza ukisimamia haki?
Tujiangalie nasi mapungufu yetu pia, tusikimbilie kuhukumu wengine.
Neno mbadala la mbumbumbu ni "kihiyo" tumia hilo linakutosha.
 
MALG

JF-Expert Member
Sep 14, 2013
268
250

Mmmm mbona umetumia nguvu nyingi kupinga?
 
kg1

Senior Member
May 27, 2017
152
225
kutokana na jina hili kuwa maarufu TANZANIA,ni jepesi kulitamka hata watoto wadogo wamelishika haraka na kulitamka kama BASITE licha ya hivyo ni neno lenye tafsida linalobeba maana nyingi mfano:ki.laza,mpumbavu,mjinga,mpuuzi haya maneno ujumla wao kuwa bashite itakuwa ni jambo zuri.

Pia jambo hili litakuwa zuri kwani neno hili chimbuko lake liko hai hivyo wanafunzi watajifunza kwa mafano hai.

RAI:Baraza la kiswahili Tanzania(BAKITA) chondechonde naomba mfikrie hili jambo kwa umakini wala halina hata chembe ya siasa ndani yake
Pia jambo hili litapunguza ukali wa maneno kwa viongozi wetu

mfano:kiongozi anapotaka kusema "wanafunzi wanaosoma UDOM special diploma wengi wao ni vi.laza"
hii itapendeza kiongozi akisema"wanafunzi wanaosoma special diploma UDOM wengi wa ni kinaBASHITE"
Bwege wewe unadhani kiswahili kinatafutiza misamiati kwenye umbea wala madawa ya kulevya ninyi; usitudhalilishe kashirikiane na wapuuzi wenzio kutengeneza kamusi ya WAFUFUA MISUKULE yenye jina la Bashite!
 
Col FEN

JF-Expert Member
Jun 16, 2017
329
500
Ushauri usio na mashiko. Ushauri kuntu.
Chuki zitokanazo na vita ya madawa ya kulevya, kwa kibwagizo cha kutumia "gia" ya aina yoyote ni chukizo kwa jamii isiyopenda maisha ya hovyo.
Mtu yeyote anayejitambua alishaelewa kitambo na kuacha hima kumsakama huyo huyo baba, kwa hiyo usirudishe nyuma ajenda "chukizo".
Drug Lords na nguvu zao zote za kipesa kwa kusaidiana na mheshimiwa shetani, wameshindwa kumuondoa Makonda kwa kuwa yupo katika kupigania jambo la haki.
Hivi hauwezi kujiuliza na baadaye kutathimini ni kwanini aliyemteua kamuacha katika nafasi hiyo hadi leo na kumpandisha cheo "Police commander" aliyeanzisha naye hiyo kampeni iliyowaumbua? Pamoja na ngebe zenu zote zilizosambazwa hadi makanisani, haujiulizi na kupata jibu, kweli?
Tusiangalie maisha binafsi ya mtu, tuangalie alichokiasisi kina tija gani kwetu kama jamii?
Chuki za kirushwarushwa, kifisadifisadi kwa ajili ya kujenga chuki za bila sababu ktk jamii, ifike mahali zipitwe na wakati. Hata kama hatua zilizochukuliwa kutokana na kampeni yake ya kutokomeza biashara ya "ngada" zilikuumiza, je zilikuumiza ukisimamia haki?
Tujiangalie nasi mapungufu yetu pia, tusikimbilie kuhukumu wengine.
Neno mbadala la mbumbumbu ni "kihiyo" tumia hilo linakutosha.
LAZIMA WEWE UTAKUWA NI BASHETI
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom