Karibu uongeze msamiati

Karibu uongeze msamiati

Translator

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2017
Posts
286
Reaction score
297
1. Mafunzo kazini – on job training

2. Mafunzo tarajali – pre-service training

3. Mafunzo ya kujiendeleza – in-service/in-house training

4. Mhafidhina – conservative person

5. Kozi andalizi – induction course

6. Kozi ya msasa – refresher course

7. Kozi ya msingi – foundation course

8. Mvuvumko wa Afrika – African renaissance

9. Usuli – historical background

10. Uzawishaji – indigenization
 
Sawa mkuu..naomba ufafanuzi wa namba 8
Mkuu Jove, hicho kinakuwa ni kipindi ambacho ni kama kuamka kutoka uzingizini. Yaani kunakuwa na mwamko wa kitaifa au hata kimataifa. Kwa mara ya kwanza kilitokea Ulaya kwenye karne ya 14 ambapo Wazungu ni kama waliamka na kuanza kukuza SANA mambo ya fasihi na utamaduni. Yaani ni kuamka kwa maana ya kuinuka, kupiga hatua na kusonga mbele kwa ari kubwa.
 
Shukrani sana mkuu
 
1. Mafunzo kazini – on job training

2. Mafunzo tarajali – pre-service training

3. Mafunzo ya kujiendeleza – in-service/in-house training

4. Mhafidhina – conservative person

5. Kozi andalizi – induction course

6. Kozi ya msasa – refresher course

7. Kozi ya msingi – foundation course

8. Mvuvumko wa Afrika – African renaissance

9. Usuli – historical background

10. Uzawishaji – indigenization
Numeipenda hii

Sent from my W5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom