Malenga wote wa CHADEMA tukutane hapa.

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Haya si Mashindano
Dr. Bigwa wa maandamano
Wakashindwa mapatano
Dr akayaaga Mashindano

Dr. Naye akajiuzulu
Mafisadi Msululu
Wakiitaka Ikulu
Udini kwenye hekalu

Ikawa ya Mmoja mjinga
Wanaogopa Kumpinga
Hata waje na Mapanga
Yu imara Mmoja Mjinga

Niko mjini nasaka mapene
Miaka 2 taangu niandamane
Kweli Awamu ya 5 mziki mnene

Kulanda huku na Kule
Na wanatuita Misukule
kama hatujaenda shule


JPM ni dikteta tupa kule
Nyani aoni Kundule
Mbowe daima atutawale
Na fikra zake nyingi za kale

Halima haachi Kilimilimi
Hata mkimkata Kisimi
Sauti yake ya Balimi
Ngumu kuchunga wake Ulimi.

Akijafanya Mtabiri
Akaishia kwenye hatari
Kifungo hadi Februari
Sasa ametii Amri.

Wakaongea kama wanahara
Kuongoza nchi si Masihara
Wakalamika zaibiwa zao Kura
Kutomtambua JPM ni wao Mkwara

Jungu Kuu halikosi Ukoko
Na Vijana wakavutwa na Mafuriko
Hawakuamini ule ni Mdundiko
Magufuli akatoboa huku na Huko
 
Haya si Mashindano
Dr. Bigwa wa maandamano
Wakashindwa mapatano
Dr akayaaga Mashindano

Dr. Naye akajiuzulu
Mafisadi Msululu
Wakiitaka Ikulu
Udini kwenye hekalu

Ikawa ya Mmoja mjinga
Wanaogopa Kumpinga
Hata waje na Mapanga
Yu imara Mmoja Mjinga

Niko mjini nasaka mapene
Miaka 2 taangu niandamane
Kweli Awamu ya 5 mziki mnene

Kulanda huku na Kule
Na wanatuita Misukule
kama hatujaenda shule


JPM ni dikteta tupa kule
Nyani aoni Kundule
Mbowe daima atutawale
Na fikra zake nyingi za kale

Halima haachi Kilimilimi
Hata mkimkata Kisimi
Sauti yake ya Balimi
Ngumu kuchunga wake Ulimi.

Akijafanya Mtabiri
Akaishia kwenye hatari
Kifungo hadi Februari
Sasa ametii Amri.

Wakaongea kama wanahara
Kuongoza nchi si Masihara
Wakalamika zaibiwa zao Kura
Kutomtambua JPM ni wao Mkwara

Jungu Kuu halikosi Ukoko
Na Vijana wakavutwa na Mafuriko
Hawakuamini ule ni Mdundiko
Magufuli akatoboa huku na Huko
Kweli sekta ya Ulenga imevamiwa,
Hata wewe Gamba Kuu Troll JF unajiita Mlenga??
 
Hiyo ndio raha ya demokrasia sasa. Mwaga unavyopenda, ila mwambie mzee wa kutolea pesa tundu lolote lililowazi akisikia miba kama hii avumilie.
 
Haya si Mashindano
Dr. Bigwa wa maandamano
Wakashindwa mapatano
Hata waje na Mapanga
Yu imara Mmoja Mjinga

Niko mjini
kama hatujaenda shule


JPM ni dikteta tup
Hawakuamini ule ni Mdundiko
Magufuli akatoboa huku na Huko
Yani ukiandika hivi unapata buku 7 basi kazi nyepesi sana
 
Hivi Bavicha ni nani
Ni kundi la kulaani
Uongozio si makini
Ukweli kwao yumkini
Nta imeanikwa Juani
Na kunyeyukia Ardhini
Ukiacha Televisioni
Siwasikii tena Redioni
Bavicha hata Magazetini
Viongozi wameingia mitini
 
IMG_0818.jpg



Swissme
 
Nta imeanikwa Juani
Na kunyeyukia Ardhini
Ukiacha Televisioni
Siwasikii tena Redioni
Bavicha hata Magazetini
Viongozi wameingia mitini
Haswa hao ndo Bavicha
Kwao akili ni chacha
Malumbano wamekacha
Wajificha kila kukicha
 
Mkuu Troll JF, unakipaji ndugu yangu, mimi CDM ila nimelipenda Shairi lako sana sana, kasoro ni Matusi tu, kutaja kiungo Nyeti za mbunge wetu sisi wana Kawe si jambo jema, ni kama tu mimi ningemtusi mtu wa CCM unayemuheshimu.. Siasa sio matusi..! Otherwise wewe ni Mlenga Mahiri.
 
Back
Top Bottom