Misemo hii kiboko...weka ya kwako...!

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,591
1,599
Uswazi ndiko misemo inakoibukia....cheki hii misemo na weka ya kwako.....
Usijisifu una mbio, msifu na anaekukimbiza.......
Fukara hafilisiki....
Ukijenga nyumba ya vioo usianzishe ugomvi wa mawe.......
........................................
Ongezea misemo ya kwako.....................
 
1. Maskini haishiwi ndoto.

2. Heri karipio la rafiki, kuliko busu la mnafiki.

3. Wakijifanya mapaka, sisi paka tupo.
 
1. Maskini haishiwi ndoto.

2. Heri karipio la rafiki, kuliko busu la mnafiki.

3. Wakijifanya mapaka, sisi paka tupo.
hiyo kiboko......hapo kwenye red...ndio maana nina mipano mingi ambayo haietekelezeki...........
 
1. Matunda hayapikwi
2.Msaada hauna risiti
3.Hodi ya chooni haijibiwi
4.Mashindano ya umiss hayafanyiki gizani.
5.Ndimu changa haina maji
6.
 
1. Matunda hayapikwi
2.Msaada hauna risiti
3.Hodi ya chooni haijibiwi
4.Mashindano ya umiss hayafanyiki gizani.
5.Ndimu changa haina maji
6.
mhhhhh!...ndimu changa haina maji...ina maanisha under 18?
 
Back
Top Bottom